TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

Turudishieni umeme Kimara Bucha huku mbona mnataka sikuku iwe siyo nzuri ukizingatia leo ni siku ya kufurahi na familia
 
Tunashukuru ila mnatukwaza mnapokata umeme hasa siku za sikukuu bila kututaafu wakati hata kudaiwa hatudaiwi.
 
Nimependa comfidence mlio nayo Kwa changamoto Zinazo likabili hili shirika na unatoka kifua mbele kukubali mijada juu ya hili shirika
 
Jitahid bac cku zote mnakata hata Leo jaman sasa tupo nyumban nmekuja mkuranga kutembelea ndg na jamaa ila hamna umeme tunaboleka
 
Hongera Sana Tanesco
Sasa Imekuja Jf Tutakuwa Tunatoa Kero Zetu
 
Nimependa comfidence mlio nayo Kwa changamoto Zinazo likabili hili shirika na unatoka kifua mbele kukubali mijada juu ya hili shirika
At least inatia moyo.
Hii ni sehemu nzuri ya kuuliza maswali mbalimbali yanayohitaji ufafanuzi toka ktk Shirika hili la Umeme Tanzania.
 
Hongera Sana Tanesco
Sasa Imekuja Jf Tutakuwa Tunatoa Kero Zetu
 
Homgera sana verified Tanesco, hapa utakutana na ushauri na malalamiko kibao.
Usije tu ukatukimbiaaaa
 
Hapa Moshi mmekata umeme tukiwa kanisani misa inaendelea.

Narudi nyumbani soweto baada ya misa hakuna umeme nyumbani hapa SOWETO, WIRELESS
 
Back
Top Bottom