Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,318
Swali langu namba 67 vipi ? Tunahitaji majibu wakazi wa huku.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.
View attachment 496739
IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE