TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

Chonde chonde msikate umeme maana mkata umeme wenu ana makusudi sana! Siku muhimu kama hii Pasaka na big game man utd vs chelsea ndio huwa anakata umeme mechi ikikaribia kuanza. Sijui ana mgao vibanda umiza?!
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.
View attachment 496739
IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kumbe mna AC JF? ila kusema kweli nilivyoona huu uzi nilidhani ni mtu analalamika kukatika kwa umeme.
 
Muwe active kila siku siyo hadi next year pasaka. .Msikate umeme leo
 
Mbona mmeng'ang'ana kutaka namba za simu za watoa taarifa maeneo yaliyokatika umeme? Mtu kataja hadi eneo bado mnataka namba yake....!!
BTW.. kuna uzi nilianzisha hapa siku kadhaa nikilalamikia TANESCO Mbagala. Kupitia uzi huu naomba nipatiwe majibu ya sababu ya kukatika umeme mara kwa mara hasa maeneo ya Barabara ya Charambe kuelekea Mvuti. Kwa leo umeme upo tangu jana haujakatika ila nina shaka hali itarudi kama zamani.

Asante!
 
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
 
Tunaomba urudie
 
Heri ya Pasaka kwenu pia. Hongereni kwa jitihada zenu pamoja na kuwa mnafanya kazi katika mazingira magumu sana yanayosababishwa na mikataba ya kifisadi.

Msikae kimya kuhusu kuendesha shirika kwa hasara kubwa inayosababishwa na TANESCO kununua unit moja ya umeme kwa shilingi 544 na kuuza unit hiyo moja kwa shilingi 279.

Hili ni la kushughulikia haraka ipasavyo ili kuhakikisha uwepo wa TANESCO kwa miaka mingi ijayo vinginevyo mtapotea katika anga za Tanzania na hivyo kuzuka vikampuni uchwara ambavyo vitatulangua sana Watanzania na umeme kuwa wa bei kubwa sana na hivyo Watanzania wengi kushindwa kumudu gharama kubwa.

Pia muangalie uwezekano wa kujikita kwenye umeme wa jua ambao bila shaka unaweza kushusha sana gharama zenu za uendeshaji kwa kiasi kikubwa.

I hope to see you on this forum every now and then to share your ideas with your fellow Tanzanians and also to learn from us.

Happy Easter Sunday.

Tupo kukusikiliza unaweza kutupatia taarifa zako za nini tukifanyie.kazi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Huku Kiwalani maeneo ya shule ya msingi hakuna umeme muda huu,kabla ya kukatika mara ya mwisho muda saa nane mchana na haujarudi hadi muda huu naandika mapema kati ya saa 4 asubuhi hadi hiyo saa 8 mchana umekuwa ukakatika na kuwaka mara kwa mara sasa sijui tatizo nini lakini hata hivyo tokea january hali ya umeme kwa Kiwalani kwa ujumla si nzuri kabisa na wala hamtujulishi ni tatizo,kwa kweli ni kero sana.
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
 
Jina ulilolipia
kiasi
eneo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Watu wengi wanahitaji umeme sana,cha kushangaza tanesco hawana hata mpango wa kuwawekea,yaani DSM kuna sehemu hakuna umeme kabisa,ni aibu na wala tanesco hawana mpango wa kuwapatia yaani hawatafuti wateja kabisa,kungekuwa na mbadala wa kampuni ya tanesco wangekimbiwa sana na wateja.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
duh. pole sana watu wa [HASHTAG]#yombo[/HASHTAG] huki kimara upo labda kuna tatizo limetokea sehemu
Huku Kiwalani maeneo ya shule ya msingi hakuna umeme muda huu,kabla ya kukatika mara ya mwisho muda saa nane mchana na haujarudi hadi muda huu naandika mapema kati ya saa 4 asubuhi hadi hiyo saa 8 mchana umekuwa ukakatika na kuwaka mara kwa mara sasa sijui tatizo nini lakini hata hivyo tokea january hali ya umeme kwa Kiwalani kwa ujumla si nzuri kabisa na wala hamtujulishi ni tatizo,kwa kweli ni kero sana.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Back
Top Bottom