TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

Poa poa mkuu, watuambie pia wapo watu wa fani zipi na vitu kama hivyo kwa ujumla...Maana Kama hatujaitwa na watu wanajiandaa kwenda kozi ujue waliobaki kuitwa hadi mwakani Hawa watakapomaliza kozi.
tunasubir mlioenda kuripoti mtupe feedback za huko na kada zilizoitwa kwa ujumla
 
Mkuu mimi sijaitwa bado na sijui kinachoendelea, tusubiri walioenda watupe taarifa.
Kwa update nilizopata ni kwamba kada zote zimeitwa na wameenda kufanya medical check up na tetes ni kwamba wote wamepimwa ile kitu kubwa
 
Nimesikia kuna zoezi la kupimwa afya hasa virusi vya ukimwi kujiandaa na paramilitary course ngoja tuendelee kupewa updates
Hii ndo kozi gani mkuu ni kama depo au na je inajumuisha fani zote au chache wale watakaukuwa askari wa Tanapa?
 
Ila Civil technician tuliofanya oral asilimia 70% ninaconnection nao, sasa hao walioitwa wametoka wapi sijui...Jaribu kumuuliza vizuri huyo rafiki yako, Kama kweli basi tuwatakie kazi njema makamanda wetu.
nam n civil technician na nina mawasiliano na baadh ya jamaa niliofanya nao oral ila wote wanadai bado,means kada ya civil technician hawajaitwa coz nam ningejua kwa walioitwa kunijuza
 
nam n civil technician na nina mawasiliano na baadh ya jamaa niliofanya nao oral ila wote wanadai bado,means kada ya civil technician hawajaitwa coz nam ningejua kwa walioitwa kunijuza
Poa poa kiongozi tupeane taarifa fundi mchundo mwenzangu.
 
Back
Top Bottom