TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

Duh!!!kwani zilizotangazwa awali wameshaita kada zote?
hawajaita kada zote,inaonesha kada walizorudia tena halaf hawajaita inaonesha walioenda oral n wachache,nahc hifadh mpya zinataka zianze kaz soon
 
Kwa style hii watu wataitwa mwakani December kufanya usaili.
 
Hawa jamaa huwa siwaelewi kbsa michakato yao. Hizi kazi ambazo watu ndo wameambiwa waripoti j4 next wk zilitangazwa mwaka Jana DEC usaili wamefanaya mwaka huu June hata salary ya kwanza hope wataanza kupokea dce mwaka huu yaan ni December to December cjui kwa nini huwa wanachukua muda mrfu kiasi hicho kuna urasimu mkubwa sana pale tanapa HQ
 
Na hapo unaambiwa kuna fani bado hawajaitwa hadi leo, nahisi wataita mwakani July[emoji3] [emoji3]
 
Hawa jamaa huwa siwaelewi kbsa michakato yao. Hizi kazi ambazo watu ndo wameambiwa waripoti j4 next wk zilitangazwa mwaka Jana DEC usaili wamefanaya mwaka huu June hata salary ya kwanza hope wataanza kupokea dce mwaka huu yaan ni December to December cjui kwa nini huwa wanachukua muda mrfu kiasi hicho kuna urasimu mkubwa sana pale tanapa HQ
Kuingia tanapa asee, muombe Mungu sana. Hasa kwa nafasi za degree holders(e.g Warden, Ecologist etc) wanawapa ndugu zao hiz nafasi.
 
Ndo wameitwa kuwasili mwezi ujao 13 Nov hapo kazi mpka Dec. Ni December to December. Hizi kazi zilitangaz wa December 2017 kazini wanaenda December 2018 zaidi ya recruitment ya TISS
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata sielewi mkuu, nafikiri ile tovuti ipo kujitangaza zaidi na sio kwajili ya ajira.
Hapo kuna madudu wanayoyafanya haiwezekani zamani majina walikua wanayaweka kwenye tovuti halafu siku hizi hawayaweki
 
Wale mlioitwa kureport leo TANAPA msisahau kutuambia kinachoendelea huko.Nawatakia kila la heri.
 
Nimesikia kuna zoezi la kupimwa afya hasa virusi vya ukimwi kujiandaa na paramilitary course ngoja tuendelee kupewa updates
 
Poa poa mkuu, watuambie pia wapo watu wa fani zipi na vitu kama hivyo kwa ujumla...Maana Kama hatujaitwa na watu wanajiandaa kwenda kozi ujue waliobaki kuitwa hadi mwakani Hawa watakapomaliza kozi.
 
Wew naye ulikuwepo kwenye mchakato
 
Back
Top Bottom