Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Naamin ulimaanisha SpamMkuu mbona tuliambiwa hata wale ambao hatujaitwa tutatumiwa emeil za kutaatifiwa kuwa hatukufanikiwa lakini naona kimyaa au watatuita kwa phase nyingine?Nimeshangaa hata aliyepata marks za chini yangu kaitwa ila mimi kimyaaa nimepekua mpaka kwenye sperm huko kwenye emil hakuna daaah any ways hongereni mliopata Mungu akawatangulie Mascretary wenzangu.