abc letter
Member
- Oct 17, 2018
- 42
- 30
Habari wana jukwaa! kwa wale waliofanya usaili wa kazi kama zilivyotangazwa na mamlaka ya hifadhi ya wanyamapori Tz (TANAPA) miezi kadhaa iliyopita angalieni barua pepe zenu wametuma ujumbe.
Habari wana jukwaa! kwa wale waliofanya usaili wa kazi kama zilivyotangazwa na mamlaka ya hifadhi ya wanyamapori Tz (TANAPA) miezi kadhaa iliyopita angalieni barua pepe zenu wametuma ujumbe.
mhh mbona huelewekiHabari wana jukwaa! kwa wale waliofanya usaili wa kazi kama zilivyotangazwa na mamlaka ya hifadhi ya wanyamapori Tz (TANAPA) miezi kadhaa iliyopita angalieni barua pepe zenu wametuma ujumbe.
sieleweki kivipi tena? majibu yametoka ya kuitwa kazini angalieni email zenumhh mbona hueleweki
hii ni ya kuitwa kaziniNi zaidi ya 4 Months. Au wewe ndo umeiona leo iyo email?? Heb check tarehe
hii ni ya kuitwa kazini
hahaaa,kwahyo hicho kipindi chote hapo kati ulikua ni mchakato tuu a year aisee,hongera zao lkn kwa waliopataNdo wameitwa kuwasili mwezi ujao 13 Nov hapo kazi mpka Dec. Ni December to December. Hizi kazi zilitangaz wa December 2017 kazini wanaenda December 2018 zaidi ya recruitment ya TISS
Nataman nimpate boss moja nimulize tu kidgo maana ni zaidi ya kushagaahahaaa,kwahyo hicho kipindi chote hapo kati ulikua ni mchakato tuu a year aisee,hongera zao lkn kwa waliopata
Kwakweli inabidi waulizwe au ndo waliwaweka as a reserve na sasa ndyo sasa wana uhitaji[emoji3]Nataman nimpate boss moja nimulize tu kidgo maana ni zaidi ya kushagaa
Hivi TNPSS E ni sh ngap Jaman?Habari wana jukwaa! kwa wale waliofanya usaili wa kazi kama zilivyotangazwa na mamlaka ya hifadhi ya wanyamapori Tz (TANAPA) miezi kadhaa iliyopita angalieni barua pepe zenu wametuma ujumbe.
2.5mHivi TNPSS E ni sh ngap Jaman?
Duuuh[emoji33][emoji33]2.5m
Basic salary kama ni hiyo... Wapo vizuri2.5m
Hapa mkopo bank, kibongo bongo unapiga parefu.2.5m
Mkuu mbona tuliambiwa hata wale ambao hatujaitwa tutatumiwa emeil za kutaatifiwa kuwa hatukufanikiwa lakini naona kimyaa au watatuita kwa phase nyingine?Nimeshangaa hata aliyepata marks za chini yangu kaitwa ila mimi kimyaaa nimepekua mpaka kwenye sperm huko kwenye emil hakuna daaah any ways hongereni mliopata Mungu akawatangulie Mascretary wenzangu.Habari wana jukwaa! kwa wale waliofanya usaili wa kazi kama zilivyotangazwa na mamlaka ya hifadhi ya wanyamapori Tz (TANAPA) miezi kadhaa iliyopita angalieni barua pepe zenu wametuma ujumbe.
relax tu ndo phase za maisha ,,,, hata mimi sikutumiwa ila wenzangu ndo waliopata hizo email kikubwa tuwatakie kila la heriMkuu mbona tuliambiwa hata wale ambao hatujaitwa tutatumiwa emeil za kutaatifiwa kuwa hatukufanikiwa lakini naona kimyaa au watatuita kwa phase nyingine?Nimeshangaa hata aliyepata marks za chini yangu kaitwa ila mimi kimyaaa nimepekua mpaka kwenye sperm huko kwenye emil hakuna daaah any ways hongereni mliopata Mungu akawatangulie Mascretary wenzangu.
Sawa sawa Mkuu ila kuna mdau alisema TANAPA wanapanua Mbuga zaidi yani wanageuza mapori kua hifadhi na hivyo idadi ya kila kada itaongezeka nakumbuka alisema hifadhi Tano zinaongezwa labda badae tutaitwa mkuu Tumuombe Mungu labda wametuweka kwenye databaserelax tu ndo phase za maisha ,,,, hata mimi sikutumiwa ila wenzangu ndo waliopata hizo email kikubwa tuwatakie kila la heri
Kiongozi hizo marks mnazingalia wapi ?Mkuu mbona tuliambiwa hata wale ambao hatujaitwa tutatumiwa emeil za kutaatifiwa kuwa hatukufanikiwa lakini naona kimyaa au watatuita kwa phase nyingine?Nimeshangaa hata aliyepata marks za chini yangu kaitwa ila mimi kimyaaa nimepekua mpaka kwenye sperm huko kwenye emil hakuna daaah any ways hongereni mliopata Mungu akawatangulie Mascretary wenzangu.