TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

Na hizi kazi zs juzi juzi vipi ambazo deadline of application ilikuwa 26/11/2018?
 
Tangu lini Tanzania iliwaita watu kwenye usaili siku 2 tu baada ya deadline!!!!
Hapa subiri kuanzia wiki 2
Na hizi kazi zs juzi juzi vipi ambazo deadline of application ilikuwa 26/11/2018?
 
Nimesikia wako mpanda kwa mapumzko ya wend baada ya sulba za wiki mzima wakiwa kambin mlele vijana wanatembea wakichechemea kwa maumiv ya blista na magoti kuuma. Poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom