TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

Duh! Jamaa washaanza Kula Bata huko
 
Mkuu nahisi sisi mafundi mchundo tushapotezewa, kama watu wanakula semina za kazi sisi tutaitwa peke yetu kweli!!!
kazi zetu n technical haznaga semina,juc maelekezo tu,hauna namba za jamaa tuliokuwa nao oral,maana ambao nawasiliana nao hawajapata mail
 
Nimesikia baada ya seminar wanaenda kupga paramilitary course cjui ni lini wanaenda
 
Semina elekezi ni haki ya kila mwajiriwa mpya bila kujali yuko kitengo gani.
Hakuna mtu asiye na umuhimu, kila mtu lazima afundishwe miiko ya kazi.
Toa sababu nyingine
kazi zetu n technical haznaga semina,juc maelekezo tu,hauna namba za jamaa tuliokuwa nao oral,maana ambao nawasiliana nao hawajapata mail
 
Back
Top Bottom