JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 662
Matukio ya watu kupotea yanapotokea vyombo husika inafanya kazi kama inavyostahili?Kaz yao TANAPA
Matukio ya watu kupotea yanapotokea vyombo husika inafanya kazi kama inavyostahili?Kaz yao TANAPA
Ok asante haizuilikiSiyo hivo, hawawezi kuingilia ikorojia huwa wanaacha nature ifanye kazi mkuu.
Hata huyo Bob alikuwa na baba yake kama sikosei akiitwa zigy male sijui.
Kweli ni kazi yao tanapa lkn matukio ya watu kupotea yanapotokeaga vyombo husika inafanya kazi kama inavyostahiliHiyo ndio kazi inayowatunzia watoto unataka waongelee siasa na mapenzi?
Kwa iyo huyu simba anapewa airtime kwa sababu Tanzania ina nusu ya simba wote waliopo duniani??!!! Mbona hili jibu haliendan na swaliKwa sababu Tanzania Ina nusu ya idadi ya Simba wote waliopo DUNIANI Kwa Taarifa zilizopo Hadi muda huu mm naandika
Mimi nazungmzia kwenye media.. achana na wahusika wa hifadhini.. Ukiangalia huyu hajawah julikanaNi kazi zao na wanajibika
Kifo hakina baunsaHABARI: Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), William Mwakilema amesema simba Bob Junior aliyeuawa na simba wenzie alikuwa na mwenzie waliyezaliwa naye pamoja anayejulikana kwa jina la Joel ambaye walikuwa wakishirikiana, ila yeye alishindwa mapambano, hivyo akakimbilia kusikojulikana, na anaendela kutafutwa.
ITVUpdates
View attachment 2554172
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mazishi bado hayajapangwa nataka kuhuzulia......taarifa zinadai kuwa Bob junior na Joel ni ndugu wa karibu na kwa mujibu wa tanapa ni kwamba ugomvi ulianza Kwa Bob junior kuvamiwa......Joel alipoona mapambano makali aliamua kusepa ndo Bob kutokana na uzee alizidiwa na kufariki......inashauriwa watanzania kuwa watulivu ktk kipindi hiki kigumu.....Joel anaendelea kutafuta na bob junior atakumbukwa daima.......
Pamaja kupakiwa kwenye ndege ila hawaishiKwa sababu Tanzania Ina nusu ya idadi ya Simba wote waliopo DUNIANI Kwa Taarifa zilizopo Hadi muda huu mm naandika
......ofcoz hata Mimi sijajua atazikwa wapi na je yatakua ya kifamilia au ya kitaifa......lakini kibongobongo wanaweza wasizike hadi Joel afike maana ndo alikuwa karibu na marehemu.....
Kutokana na uonekano wake wakipekee na manyoya yake kama amesukwa Rasta alipendwa, kujulikana na kufuatwa na watalii wengi .Kwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Joel amepita speed sana hapa chato itakuwa anaenda burigi moja hiyo..!HABARI: Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), William Mwakilema amesema simba Bob Junior aliyeuawa na simba wenzie alikuwa na mwenzie waliyezaliwa naye pamoja anayejulikana kwa jina la Joel ambaye walikuwa wakishirikiana, ila yeye alishindwa mapambano, hivyo akakimbilia kusikojulikana, na anaendela kutafutwa.
ITVUpdates
View attachment 2554172
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Heshimu nature,ukidanganywa na wanasiasa unatulia,sasa sii Bora hata tutulize mawazo na Bob Junior,toka uhuru wanatupa matango poriKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Joe boy siyo kabisa
Imagine toka asubuhi hapa umeme haupo ulirudi saa kumi na moja ukakatwa saa moja kasoro,Karne ya 21,this is a joke of a centuryKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi