TANAPA: Simba Joel alikimbia, tunamtafuta

TANAPA: Simba Joel alikimbia, tunamtafuta

Af kweli majamaa yatatambaa na beat, kama vipi wazungushie ukuta mbuga zote na camera ziwekwe kila kona
Kwenye mbuga kuweka ukuta hairuhusiwi. Wakitoa taarifa ya kifo, watuoneshe huyo Simba aliyekufa, kama wanavyosambaza picha za Bob. Na tuone akizikwa 😅😅😅😅
 
Kwenye mbuga kuweka ukuta hairuhusiwi. Wakitoa taarifa ya kifo, watuoneshe huyo Simba aliyekufa, kama wanavyosambaza picha za Bob. Na tuone akizikwa 😅😅😅😅
Na simba wengine wahojiwe ili waseme kama kweli mwenzao kafa kwa natural death
 
Hakika. Maana wanasiasa hawaaminiki, hata kama wanaongea ukweli 😅😅
Af nimeona baba yake Bob Jr ni rastaman, nashauri apewe ulinzi hao wanasiasa wasije kumuua ili wapate rasta zake wakaziuze kwa watalii.

Hawaaminiki hao
 
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), William Mwakilema amesema simba Bob Junior aliyeuawa na simba wenzie alikuwa na mwenzie waliyezaliwa naye pamoja anayejulikana kwa jina la Joel ambaye walikuwa wakishirikiana, ila yeye alishindwa mapambano, hivyo akakimbilia kusikojulikana, na anaendela kutafutwa.

Pia soma > Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Alikimbia kuokoa roho yake....huko ni kujitambua.
 
Alibaki Faru Fausta, labda huyo ndio awe mwenyekiti atleast ana uzoefu kwenye hayo mambo.
Kama bado hawajamuua
......ok sawa na mjumbe mojawapo atakua Panya Magawa kutoka SUA, mzee wa kutegua mabonu.......
 
Back
Top Bottom