NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,293
- 14,584
- Thread starter
- #101
[emoji23]Nashauri MAITI YA BOB JUNIOR ISIZIKWE IKAOZA BORA IKAUSHWE NA KUWEKWA SEHEM KAMA MAKUMBUSHO AU HUKO HUKO SERENGETI ILI KUKUZA UTALII
[emoji23]Nashauri MAITI YA BOB JUNIOR ISIZIKWE IKAOZA BORA IKAUSHWE NA KUWEKWA SEHEM KAMA MAKUMBUSHO AU HUKO HUKO SERENGETI ILI KUKUZA UTALII
Anataka kulipa kisasiJo amekwenda kujipanga.Anakuja kivingine!!
[emoji23]Joel ni rafiki batili...
Ndiyo watu wanapenda SasaA
wan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Ameliingizia taifa pesa nyingi kuliko wewe
Na wafunguliwe mashitaka [emoji23]Haikubaliki hao Simba wengine wailoomuua mwenzio Joel na wenyewe watafutwe watiwe mbaroni ikiwezekana wafungwe kifungo Cha maisha au wahukumiwe kunyongwa .
Ukiua Kwa upanga na ww unakufa Kwa upanga nadhani tumeelewana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndo bongo ambayo simba (mnyama) anatafutwa kuliko binadamu akipotea
Joel hafai kabisa,eti akaona isiwe tabu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]yann kujifia
Atakuwa kakimbilia Kenya,ili achue flight kwenda zake Belgium [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Joeli aliwaza akaona kama lema alikimbilia canada na lissu akakimbilia ubelgiji yeye abaki tu anashangaa ikabida atafute mahala akimbilie na atakua ameiga kwa viongozi wa chadema kukimbiakimbia kwenda kujificha