Tamu na chungu ya penzi jipya

Tamu na chungu ya penzi jipya

Yaani penzi jipya siku ya kwanza umevua ni sawa na kukabidhi mtihani na unasubiri matokeo...,.ukirudi hm unabaki kusikilizia simu yake
Kwamba umefurahia mbususu ama lah 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa je!🤣🤣🤣 Inauma ushatoa mbususu halafu humsikii tena
Sasa ebu funguka nini hasa kinauma? Au ni ile kwamba unaanza kujiuliza mbususu yangu sio tamu ama nini?
 
inaelekea alikuwa anakukosha kweli
Yule binti alikuja kuzingua niliamini ndio angekuja kuwa mke wangu ila kila kitu kinachotokea kwenye maisha Sir God ndio anapanga,wala hata silaumu kwa maamuzi aliyofanya yy
 
Back
Top Bottom