Tamu na chungu ya penzi jipya

Tamu na chungu ya penzi jipya

shida ndo inaanziaga hapo na akishavua yeye kamaliza kibaya zaid asikute kile alichokuwa anategemea ndo majanga zaidi yaan imeisha hiyo wakati huo sasa bidada damu ndiyo imeshapata moto anajiseti kwa kumwambia maswala ya ndoa [emoji1787][emoji1787]
Yaani penzi jipya siku ya kwanza umevua ni sawa na kukabidhi mtihani na unasubiri matokeo...,.ukirudi hm unabaki kusikilizia simu yake
 
Penzi jipya bhana yan mda huo huo mna chat whatsapp, Instagram, telegram,facebook na sms za kawaida halafu kote mada tofauti[emoji23][emoji23]
Toka tunaanza ni kawaida yetu na hatujaacha mpaka sasa ni zaidi ya mwaka japokuwa changamoto hazikosekani..
 
Yaani penzi jipya siku ya kwanza umevua ni sawa na kukabidhi mtihani na unasubiri matokeo...,.ukirudi hm unabaki kusikilizia simu yake
Kwamba umefurahia mbususu ama lah 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom