Tamu na chungu ya penzi jipya

Tamu na chungu ya penzi jipya

Simu inaita....( Kri kriiiiii.....)

Kupokea tu, unampiga na uongo mtakatifu... "Yaani umeniwahi.... Ndo nlikuwa nakupigia saiv..."
utasikia yaani nilikuwa nakuwaza sasa hivi kama ulikuwa akilini mwangu vile
 
ila wanawake wanapenda kudanganywa sana yaan hata kama hani hiyo sifa ww mpe tu mukiachana akifika home atakesha kwa kioo wanapenda sana kusifiwa hawa viumbe
 
Na ile mshaongea na simu mda wa kukata kila mtu anamwambia mwenzake kata wewe mara ghafla mada mpya inaibuka maongezi yanaendelea dah
Hivi zile story zisizoisha huwa zinatokea wapi? Na upya wa penzi ukiisha story zinaishia wapi?
 
Yaani nakumbuka penzi jipya letu, nilikua napata goosebumps hata nikisikia simu yake akinipigia yaani kama napaa hivi kwa raha ya kusikia sauti yake nzitoo. Dah kilichotokea ni kibuti heavy😂 Nishawahi kupenda mimi.
 
ila wanawake wanapenda kudanganywa sana yaan hata kama hani hiyo sifa ww mpe tu mukiachana akifika home atakesha kwa kioo wanapenda sana kusifiwa hawa viumbe
Kweli kabisa na tunasikia raha kusifiwa na babe🤪 unajihisi kama malaika vile
 
Mimi nitabaki na hilihili penzi langu la zamani,,,Mara kisirani nimenunuwa,Mara nimepewa shit,Mara akiibuka Kama penzi jipya....nishazoe scene zake
 
Yaani nakumbuka penzi jipya letu, nilikua napata goosebumps hata nikisikia simu yake akinipigia yaani kama napaa hivi kwa raha ya kusikia sauti yake nzitoo. Dah kilichotokea ni kibuti heavy😂 Nishawahi kupenda mimi.
Na Hilo ndio tatizo la penzi jipya,we unakuja kwenye msisimkooo kumbe mwenzio anakunyemelea akuvue Pichu tu
 
Kweli kabisa na tunasikia raha kusifiwa na babe unajihisi kama malaika vile
Haha mko na shida sana na ndiyo maana huwa baadaye zinakata mtu huwezi danganya miaka yote akirudi kwenye uhalisia wake ugomvi unaanza
 
Mimi nitabaki na hilihili penzi langu la zamani,,,Mara kisirani nimenunuwa,Mara nimepewa shit,Mara akiibuka Kama penzi jipya....nishazoe scene zake
Hongera yako kwa maamuz hayo upo vzr
 
Na Hilo ndio tatizo la penzi jipya,we unakuja kwenye msisimkooo kumbe mwenzio anakunyemelea akuvue Pichu tu
shida ndo inaanziaga hapo na akishavua yeye kamaliza kibaya zaid asikute kile alichokuwa anategemea ndo majanga zaidi yaan imeisha hiyo wakati huo sasa bidada damu ndiyo imeshapata moto anajiseti kwa kumwambia maswala ya ndoa
 
Na Hilo ndio tatizo la penzi jipya,we unakuja kwenye msisimkooo kumbe mwenzio anakunyemelea akuvue Pichu tu
Jo naomba urudishe ile avatar yako ya kikauzukauzu, hii imekaa kinyongenyoge watakuonea sana.
 
Back
Top Bottom