Tamthilia za Azam tv zina Udini

Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Kaka nafikili TING wanachanel nying sana za Kanisa ,busara ni kufata unachotaka,inaonesha unapenda kwaya,maombi na Maigizo ya kikrstoo lakin chaguzi lako ni Azam, nashauri chaguzi yako iwe TING hutojutia maamuzi ,kama wanaopenda ligi ya Uingereza wameenda DStv,Laah kama unachochukia ni uislam na si vinavyoonyeshwa bas hapo itakuwa ngumu kukushauri,maana hata ukisikia jiran kampa mwanae jina la kiislamu utakasirika
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
 
Wateja gani mnaonesha chuki na ubaguzi usiokuwa na msingi? Mahayawani nyie.mbona sijasikia mkilalamika TV ya TB Joshua kuoneshwa na azam ? Jipimeni muache roho mbaya.pumbavuuu
Ndo maana nasema licha yakuwa wewe ni mpumbavu na mgonjwa akili ona unavyochanganya Mambo yaani unafananisha TV ya TB Joshua na Azam.Ngoja nikuache sawa na kumkimbiza chizi.Muda utaongea.Nafikiri Kama anapitia Kwenye thread Kama kweli anafanya Biashara hawezi fuata mawazo ya kipuuzi haya.
 
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
Mkuu ukishatoka huu uzi fungua mwingine kuhusu king'amuzi cha TING
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom