Tamthilia za Azam tv zina Udini

Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Kwa nini utumie uchafu wao huo hamia DSTV, Zuku au Startimes
Wewe ndio una udini, maana akili yako inawaza upumbavu muda wote! Hujui hata maana ya maudhui ya tamthilia hizo tajwa, halafu kwani umelazimishwa? Kuna TV km Emanuel TV huzioni?
 
basi tena
IMG-20190605-WA0014.jpeg
 
Mtoa mada, Je upo tayari ;

1. Kukipasua pasua king'amuzi hicho?
2. Kukichoma moto na ungo wake?
3. Kukigawa bure kwa muislam
4. Kuendelea kulalamika na kutuhumu JF
 
Na nyie wakristo fungueni TV yenu muajiri wakristo 97 %msitupigie makelele hapa. Chuki tu zisizo na mpango shwaini
Mkuu hawa jamaaa wanashangaza mnoo . waislamu tukiulza mbona Mzee Wa pale juu anateua sana wakristo kuliko waislamu , hawa hawa wanasema rais anaangalia ujuz Wa mtu . Sasa watwambie hao waislamu azam TV wanaujuzi au hawana? Jingine nenda sahara media na makampuni ya marehemu Mengi, wengi wawafanyakazi ni wakristo lakini hata siku moja haya majitu hayajawahi kupaza sauti zao kuhusu hilo.
 
Tushawazoea hao hawana jipya kutwa majungu na umbea .achana nao
 
Kuna mdogo wangu alipata kazi pale bakhresa buguruni
Walipogundua kuwa dogo ni mkristo hata wiki hakuchukua
Sio kosa lao ila dini yao inawataka wawe hivyo
Ni watu wa kuwavumilia tu
Kwa hiyo mkataba wake ulivunjwa kutokana na dini yake?ameenda CMA kulalamika?
 
Kweli kabisa wana udini uliyopitiliza ujiangalia hotel yao iliyoko Zanzibar wameandika kabisa wanafuata misingi ya kiislamu alafu ajira zao more than 80% ni was dini yao jaribu kupiga cm kwenye customer service ya azam kingamuzi utasikia Hadija,zulfa ,mariam na majina kama hayo
 
Kwani nani kakuzuia kuangalia Tv Emmanuel pale TING?
 
Mbona wakristo mnakerwa sana na mambo ya kiislamu?
Nyie si mna tv zenu kama agape,emanuele na zingine ambazo ziko kwenye azam upande wa other chanel?
Hivu wangekua wadini wangeziweka? Hivi kwenye agape kuna chanel za kiislam kama kwenye azam walivyoweka?
We mwandishi acha chuki,uwe mkweli,hiki ninachosema ni uongo?
Kama utathibitisha mimi ni muongo,tuma namba hata ya jirani yako nakurushia laki moja hapa hapa na muamala ntauweka hewani kila mtu asome.
Shukrani.
Agape inajulikana wazi na imesajiliwa kama kituo cha Kidini,je Azam?
 
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
Mkuu kwani ni lazima uangalie Azam tv?Si uamie Emanuel tv uangalie Mapambio.
 
Mkuu hawa jamaaa wanashangaza mnoo . waislamu tukiulza mbona Mzee Wa pale juu anateua sana wakristo kuliko waislamu , hawa hawa wanasema rais anaangalia ujuz Wa mtu . Sasa watwambie hao waislamu azam TV wanaujuzi au hawana? Jingine nenda sahara media na makampuni ya marehemu Mengi, wengi wawafanyakazi ni wakristo lakini hata siku moja haya majitu hayajawahi kupaza sauti zao kuhusu hilo.
Ni wajinga thana wapotezee tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom