Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.

omereo

Member
Dec 29, 2018
54
79
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
 
Kwa nini utumie uchafu wao huo hamia DSTV, Zuku au Startimes
 
Unajua ifike mahali tusiumize kichwa kwa vitu vidogo..kimsingi kuna maudhui ambayo kwa tamthilia wanazoonesha wanaona yanafaa kwa general audience..just imagine ndio waweke game of thrones au Empire..kuna inshu zingine usizichukulie serious sana.
 
kweli kabisa
 
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.

Azam Media ni chombo cha kueneza udini, uslutani 'uarabu' na nk.

TCRA wasingekipa leseni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom