Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Mpumbavu ni wewe unaefikiria Mwenye Azam ahamue yeye Cha kuwaonyesha wateja wake Kama unavyofikiri.Baada ya kumshauri mnaanza kuwaona watu wapumbavu.Wateja wana haki ya Msingi malalamiko yamejaa Kila Kona na hii ni thread ya pili Kuna Jambo lazima lifanyiwe kazi.Kama anataka yeye Nini Cha kuonyesha hasingefanya biashara ingekuwa ya yeye na familia yake pamoja na dini yake.Samahani kama nimekukwaza lakini walahu nimejibu kulingana na comment yako.
Brother nunua kingamuzi cha TING
 
Emmanuel TV, Please mturudishie.
Mimi ndio Kanisa langu hilo.
Naangalia sana
Emmanuel TV Ligi ya Tanzania na Channel ya Utalii, Safari
Wageni wangu wanaipenda tamthiria ya Sultani.
Watoto wangu wanapenda Katuni na Mieleka.
Wazazi wangu wanapenda kuiangalia TBC.
 
Nakwambia acha upimbavu kumpangia mtu cha kufanya.

Pole! Utakua hujanielewa. Mimi naunga mkono Azam tv kurusha tamthiliya yoyote ile, iwe na maudhui ya kikristo, kiislamu, kipagani, nk. Kama siipendi au haijanivutia, nitabadili chanel maana silazimishwi kuiangalia hivyo hakuna sababu ya mtoa mada kulalamika.
 
Uislam unakuudhi nini kijana? Mbona una mafundisho mema. Kipi kibaya ulichokiona kwenye Uislam, hata uudhike kiasi hicho?
Hapo nimeudhika wap mkuu?

Mimi nimesema mtoa mada yupo sahihi azam hata waajiriwa wao ni waislam wengi, na kwenye position za juu wapo wahindi tupu..wanatakiwa wajitafakari nankubalance mambo kama ipp media

Mimi sio mkristo
 
Piga chini mkuu kama unaona huwaelewi. Unachofanya hapa ni kuharibu biashara za watu na maisha ya watu.
 
Mbona sioni udini Jamani au kwa kuwa situmii miwani.labda fafanua sababu hata hiyo move si ya azam.mmh kajipange hii hoja bado.
 
Hapo nimeudhika wap mkuu?

Mimi nimesema mtoa mada yupo sahihi azam hata waajiriwa wao ni waislam wengi, na kwenye position za juu wapo wahindi tupu..wanatakiwa wajitafakari nankubalance mambo kama ipp media

Mimi sio mkristo
Nijuavyo mkubwa wa hiyo TV ni Dustan Tido Mhando, huyo kama ni Muislam au Mhindi basi anachotenda si haki.

Hapo sasa!
 
Hapo nimeudhika wap mkuu?

Mimi nimesema mtoa mada yupo sahihi azam hata waajiriwa wao ni waislam wengi, na kwenye position za juu wapo wahindi tupu..wanatakiwa wajitafakari nankubalance mambo kama ipp media

Mimi sio mkristo
Masikini hivi tido ni muislam nenda kaulize position yake pale halafu ingia upande wa finance IPP uangalie wahindi wapo wangapi usifikie conclusion bila reseach halafu by the way sheria hamkatazi mtu binafsi kuajiri watu awatakao. Ila naomba uniambie TBC katika ile top management waislamu wapo wangapi halafu uje unyooshee vidole kampuni za watu waliotafuta pesa bila ya msaada wa mtu leo hii unawapangia wamuajiri nani kweli nyie jamaa mnamakubwa mnayoyaficha nyoyoni mwenu
 
Tamthilia ni ya wasani sio ya tv na tv hucheza tamthilia yenye maadili ya Taifa letu sio vinginevyo kama unahitaji tamthilia isio na maadili kaitafute sehem nyingine.
 
Nimepitia michango yote... ila ninapata shida hapa...
UISLAM UNA SHIDA GANI?? MBONA WATU WANACHUKI KIASI HIKI??
WAISLAM KILA SEHEMU WANANYANYASWA KWANINI??
AJIRA NYINGI WANAPEWA WAKRISTO LKN WATU HAWAPAZI SAUTI KWANN??
MASHEKH WAO WAMEKAMATWA LKN HUONI WATU WAKIPAZA SAUTI..
KWANN MNAWACHUKIA WAISLAM.??
BINAFSI WAISLAM NAONA NDIO WATU WASTAARABU KULIKO WAKRISTO..

WAVUMILIVU SANA.., WANATENDA HAKI SEHUMU KUBWA,

NAWAPENDA WAISLAM...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom