Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Yani mkuu Sultan unaona inaeneza udini?

Hujui kwamba ile inaakisi matukio halisi ya miaka ya Ottoman Empire? The Magnificent Century under the Magnificent Sultan Suleiman?

Kwa taarifa yako, baada ya Magnificent Century (Sultan) waturuki waliigiza nyingie inaitwa Magnificent Century: Kosem. Inamhusu Sultana Kosem aliyekuja kutawala miaka ya baadaye ya ufalme huo huo wa Ottoman, ambaye ameigizwa na huyu Fatmagul.. Humo ndio kuna mpaka vita kati waislam na wakristo tena ikiratibiwa na PAPA.

Logically, ilitakiwa Sultan ikiisha waonyeshe hiyo ya Kosem, ila kwa maudhui yaliyopo humo Season 2 ya vita vya kidini, azam wameamua kukausha na kuonyesha hiyo ya Wounded love. I think wamekuwa wastaarabu.

Watu mna roho ndo mno....
 
Hana hoja ni chuki tu, halafu waislamu hatuna muda wa kuwachukia wao.
Waislam mna chuki na ubaguzi sana tu. Kuna kipindi fulani hivi maeneo ya Kinondoni tulikuwa tunapata biriani siku ya Ijumaa sasa kuna ustadhi mmoja hivi akakosa biriani cause alichelewa kutoka msikitini. Cha kushangaza akaropoka akiwalaumu wakristo kwa kumaliza biriani. Akadai wakristo wamefata nini kwenye chakula cha waislamu. Na huo ni mfano mmoja tu, nnayo mifano mingi sana ya kuelezea ubaguzi wenu
 
Mpumbavu ni wewe unaefikiria Mwenye Azam ahamue yeye Cha kuwaonyesha wateja wake Kama unavyofikiri.Baada ya kumshauri mnaanza kuwaona watu wapumbavu.Wateja wana haki ya Msingi malalamiko yamejaa Kila Kona na hii ni thread ya pili Kuna Jambo lazima lifanyiwe kazi.Kama anataka yeye Nini Cha kuonyesha hasingefanya biashara ingekuwa ya yeye na familia yake pamoja na dini yake.Samahani kama nimekukwaza lakini walahu nimejibu kulingana na comment yako.
Bado wewe utaendelea kuwa mpumbavu. Kwa sababu wanaotizama mchezo wa Sultan ni wengi sana kuliko wanaolalamika hapa JF. na hao wengi wanaotizama miongoni mwao ni wakiristo ambao wanautizama kama vile ni miongoni mwa michezo mengine tu. Ila ukiwa na upumbavu kichwani basi utafikiria kuwa wanaeneza dini. Maamuzi wanayo wenye channel, wakiamua leo waweke mawaidha mwanzo hadi mwisho ni haki yao as long as haivunji maadili.

Kwani si kuna channel ya Agape na Emmanuela? Waambie wakuwekee michezo uitakayo upate kuachana na Azam TV
 
Waislam mna chuki na ubaguzi sana tu. Kuna kipindi fulani hivi maeneo ya Kinondoni tulikuwa tunapata biriani siku ya Ijumaa sasa kuna ustadhi mmoja hivi akakosa biriani cause alichelewa kutoka msikitini. Cha kushangaza akaropoka akiwalaumu wakristo kwa kumaliza biriani. Akadai wakristo wamefata nini kwenye chakula cha waislamu. Na huo ni mfano mmoja tu, nnayo mifano mingi sana ya kuelezea ubaguzi wenu
Na wewe ulivoshindwa kutumia akili zako kisawasawa ndio uka judge kuwa ndio waislam wote? na ukaamini Biriani ni chakula cha waislam na sio wa wahindi?

Mnasikitisha kwa kweli!
 
Na wewe ulivoshindwa kutumia akili zako kisawasawa ndio uka judge kuwa ndio waislam wote? na ukaamini Biriani ni chakula cha waislam na sio wa wahindi?

Mnasikitisha kwa kweli!
Sijasema kwamba ni waislam wote. Nimejaribu kumuelezea huyo jamaa kwamba waislam ni wabaguzi sana tu. Na cha kushangaza zaidi ni kwamba huyo jamaa alietuonesha huo ubaguzi ni mtu tunaefahamiana nae na huwa tunakutana mara kwa mara kwenye biashara zetu.
 
Sijasema kwamba ni waislam wote. Nimejaribu kumuelezea huyo jamaa kwamba waislam ni wabaguzi sana tu
Refer to individual na sio generalization. Ukisema watanzania wana roho mbaya, mana yake hio ishakuwa sifa ya mtanzania ikiwa wote ikiwa mmoja.

Sasa wewe ulitakiwa umuulize ushahidi wa kuwa Biriani ni chakula cha kiislam ama sicho. Saa nyingine muwe muna challenge mtu.
 
Ile Filamu ya Yesu ilikuwa inaoneshwa sana na watu wote walikuwa wanatizama bila kujari imani zao ila sipati picha ingekuwa filamu ya kiislamu.
 
Refer to individual na sio generalization. Ukisema watanzania wana roho mbaya, mana yake hio ishakuwa sifa ya mtanzania ikiwa wote ikiwa mmoja.

Sasa wewe ulitakiwa umuulize ushahidi wa kuwa Biriani ni chakula cha kiislam ama sicho. Saa nyingine muwe muna challenge mtu.
Sikutaka kumchallenge cause I was busy enjoying my food. Siwezi kubishana wakati wa chakula but that was an insult. Imagine umenunua chakula kwa fedha yako alafu mtu anakuja kukutolea maneno ya kibaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom