Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,400
- 29,551
Thibitisha madai yako kuwa CHADEMA ndio walioandika waraka huo
mtafute Shy atakubainishia zaidi.
Na hata hivyo miondoko na mionekano na ushahidi wa mazingira unaonesha bayana waandishi ni CHADEMA.
Wanatumia mbinu chovu, zilizopitwa na wakati ,mbinu mfu, mbinu chakavu ,mbinu ambazo kwa hali ya kawaida tunaziita ni mbinu za mafia ili wapate madaraka. Hawa jamaa hawana tofauti na waliopo mandarakani wanatumia na kujaribu kila mbinu kujipatia madaraka.
Mura Wasu.Mie binafsi nashangaa sana na siasa za CHADEMA.
Wao badala na kudili na matatizo halisi tuliyonayo wanajitahidi kufanya mbinu zisizofanyika.
1. CHADEMA ndio wamesajili CCJ eti wakijaribu kumuuwa kiboko kwa kumpiga kwa unyasi, ili ionekane ccm inapasuka.
2.CHADEMA ndo wameandika waraka huu eti wakijaribu kumuuwa tembo kwa kumchapa na kijiti cha mti.
Politiks za CHADEMA ndizo zinazowakatisha tamaa watanzania wenye nia na uwezo, maana propaganda wanazo propagate CHADEMA zinazidi kudidimiza matumaini ya watanzania na kuwavunja moyo. Kwa wao wakifikiri wanawavunja watanzania moyo kuipenda ccm ili wapendwe wao.
CHADEMA acheni uzushi fanyenia siasa halali , za haki na zenye tija ktk mustakbali wa Taifa.
Mie binafsi nashangaa sana na siasa za CHADEMA.

Hapo chini ni maneno .....Sijui hayo maneno tuyaamini!
Naona kama utapeli mtupu hasa mwaka huu wa uchaguzi!
Hawa waliotajwa ni Mbuzi wa kafara kwa kipindi hiki tu. Chama kikifanikiwa kuvuka tu mwaka huu watarudishwa na kusafishwa wasipotakata watafichwa ubalozini majuu.!
Kwa tamko hili tunasema imetosha! Tunataka mabadiliko kama ajenda kuu ya uchaguzi mkuu
mwaka huu. Mabadiliko ya kweli yatakaofumua fumua mtandao wa uhalifu na ufisadi nchini
na hatimaye kurejesha imani ya wananchi kwa serikali yao na kwa Chama cha Mapinduzi
Kuchimbika kwa CCM ndio itakuwa salama yetu na mshikamano wao ndio maangamizi kwetu mfano ni issue ya Richmond ilivyomalizwa kisanii, japo ni kama wameiahirisha lakini kwa wakati huu mambo yao yanasonga mbele.Ngoja tusubiri, ila toka yale maneno ya "PATACHIMBIKA HAPA" watu wakakauka midomo na sauti lakini wapi. Ni utamaduni wa CCM kudanganya sasa ngoja tuone.
Mkuu kabla ya kupost kitu pitia kwanza thread za zamani. Hii kitu imetoka tangu february, the very same day ikatundikwa hapa.
Joto la Uchaguzi 2010 tayari limepamba moto. Vyama vya upinzani na chama tawala vyote vimeanza kampeni za hapa na pale kila mmoja kutaka kujiwekea mazingira y aushindi! Kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi sasa kipo kwenye wakati mgumu hasa ukizingatia suala zima la Rushwa na Skendo za ufisadi zilivyokumba viongozi waandamizi wa chama hicho!
Hivi karibuni kumesambazwa waraka unaosemekana umetoka kwa wanachama wa CCM wanaojiita "Wapiganani wa CCM"...ndani ya chama hicho....Nawasilisha waraka wa "Wapiganaji wa CCM" kama ulivyonidondokea......
Tafadhali pitia kiambatanisho (Attachment) ambacho kipo kwenye PDF Format
Nawasilisha..