Tamko la waislam wa Tanga

waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011
Fanyeni kazi nyiye watu, msingojee kutaifisha taifisha, we hate communism, wavivu wengi hawawezi kuanzisha investments wasubiri kutaifisha, Azimio la Arusha limetutia umaskini! potelea mbali wewe na azimio la Tanga, you'll find out that unataifisha hata watu kama BAKWATA!
 
Hizi njaa zitatumaliza watanzania. Huyo ustazi amekosa mlo sasa anatamani mali ya kanisa, si akaombe msaada tu.
 
Yaani natamani tungepata rais awakubalie hiyo namba 3 halafu muone watakavyoparurana kwa kugombea mali na fweza hizo!!! Na baada ya miaka 30 na zaidi ungewakuta wanapigia miayo miradi ya wakristo tena..! Kaaazi kwelikweli.
 
Tunavuna tulichopanda

Serikali ya CCM- KAZI KWENU.

YETU MACHO

:drum:
Wanapotoa matamko yanayowagawa wa-tanzania kwa manufaa ya ccm huwa wanawashangilia. Sasa inabidi ccm ijue kwamba matokeo ya kuulea na kuushabikia udini katika ndiyo hayo. Na bado, tunakokwenda hali itakuwa mbaya zaidi, baada ya matamko kutoleta kile wanachodhamiria kupata watu watashika silaha.
 
Islam Bwana? Siku wakikutana na masihi wa BWANA ie YESU KRISTO, wataacha huu upuuzi.

Kwanza sina taarifa kama kuna mashirika/taasisi za kidini zilizosamehewa kulipa kodi zaidi ya shule, makanisa yenyewe na hospitali ambazo hata waislamu wamesamehewa kulipa kodi hizo.

Pili hata kama serikali ikisema itaifishe taasisi hizo, ndani ya miaka 10, taasisi za dini zitakuwa zimejenga nyingine nyingi zaidi ya zilizopo. kwani mali na vyote viujazavyo ulimwengu ni mali ya BWANA, hivyo hakuna cha kuwarudisha nyuma, na kwa taarifa ya waislamu ni kwamba, mkristo hawezi kupigana kwa ajili ya vitu hivyo, kwani wamevipata ni kwa ajilia ya BWANA, na kamwe MUNGU HAPIGANIWI BALI ANAJIPIGANIA mwenyewe

waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

nonsense fanyeni kazi acheni kukaa vibarazani kunywa kahawa mtapata zenu
 
Yaani natamani tungepata rais awakubalie hiyo namba 3 halafu muone watakavyoparurana kwa kugombea mali na fweza hizo!!! Na baada ya miaka 30 na zaidi ungewakuta wanapigia miayo miradi ya wakristo tena..! Kaaazi kwelikweli.
unajuwa hata tukigawana mali zote za TZ sawa kwa sawa, bado baada ya muda mfupi zitarudi kwa wale wake wenye miradi ya kuzikusanya upya. Hao mashehe ni rawa na wagombea urithi. Cdala ya kutafuta vyao wanakb kusubiri vaifishaji
 
usishangae hakuna cha wajahidina wala suna wote wanaongozwa na QURAN TUKUFU ingekuwa TAKATIFU wangejua walitendalo ila hawajui
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

wapuuzi nyinyi tamko la igunga limefikia wapi?hayatekelezwi yote na mtaendelea kuwa wajinga daima,semeni acheni kucheza bao na kuoaoa ovyo.
 
Hizi njaa zitatumaliza watanzania. Huyo ustazi amekosa mlo sasa anatamani mali ya kanisa, si akaombe msaada tu.

muda wote anafundisha madrasa atafanya kazi sangapi?acheni njaa na ujinga nyie.
 
Ngoja tuanze kuwafundisha neno la yesu kuwa lazima ufanye kazi na kutenda mema.ccm wezi,bakwata nao ni ccm c so tamko mmemtolea nani?msifuni mungu kwa kuimba na kufanya kazi.
 
Hakuna sharia wala sheria katika hili cha msingi hapa ni watu kusoma ili waelimike siyo kujisemea tu ....hawaoni maprofesa wao wamekaa kimya maana wao wanatumia brain zao vizuri
 
Matamko ya kiislamu tena Jamani? Mmesahau ya Igunga? CUF kura 1,000 acheni udini pua haziwaumi????
 
Jamani tende za msaada mwezi wa Ramadhan mmeshindwa kugawana vizuri sembuse fedha (tena za kufikirika).
Nyama ya Ngamia toka Meccah baada ya Hija (si mnajua wenyewe mtu akifanya nini wakati ule wa hija basi dhambi zake zitafutwa kwa kutoa sadaka ya kondoo au ngamia?) mmedhulumiana mpaka mnachapana viboko pale Qiblatain Kariakoo, sembuse hela (za kusadikika).

It is good to know their highest level of education in the secular system. Then, we can conclude on their resoaning capability.
 
Back
Top Bottom