Tamko la waislam wa Tanga

duh, mie nimeshikwa na kiu, ngoja kwanza nikapate soda na kiti moto kisha ntakuja kuangalia kinachoendelea na hii sredi.
 
Dah nimesoma coments zote moja baada ya moja, jaman hv nani katufikisha hapa?kudharauliana,kukejeliana,matusi ya kidini n.k tumesahau waislam na wakristo tumeoleana,tumeishi pamoja kwa upendo kwa miaka mingi tu.
Mimi ni mwislam tena kwetu ni Tanga-muheza ingawa cpo huko kwa sasa.
Kusema wazi hao waliotoa hilo tamko nadhani hawakuona athari zake, unajua ina hitaji reasoning kuandaa tamko lolote hata kama ni in family situation.
Sharti la kutaifisha mali zote za wakrisho i.e mashule,mahospital n.k hili halitawezekana, na kupiga hesabu ruzuku walizopata wakristo then jumla yake waislam pia wapewe nalo ni impocbo pia,
Hv mmetafakari kwa kina kama hospital na taasisi zote za wakristo zikikataa kutoa huduma kwa waislam, je hakuna athari yoyote kwa hilo,

Jaman ndugu zangu watanga hata kama kuna dhuluma mnayodai ipo cdhan kama masharti mliyoyatoa ndio suluhisho, wakristo wanapewa ruzuku kutokana na huduma wanazotoa na huwa hazibagui dini na kwa ushahidi wa hilo mm mwenyewe nimetibiwa holispital mbali mbali za kanisa tena bila ubaguzi, kwa hili acheni niwe mkweli.
Suluhisho ya matatizo ya waislam si kuendekeza visasi na kulalamika bali ni kutafuta elimu kwa bidii zaidi ili kusaidia ustawi wa jamii. Tujenge mashule,mahospital n.k ili ndugu zetu wasome coz elimu ni muhimu sana kwa maisha ya sasa!Then Bakwata kama taasisi ya ustawi wa waislam ina wajibu gani kwa maendeleo ya waislam? je shule ngapi za Bakwata zimejengwa tangu mwaka 90 tu mpaka sasa?wakristo hupeleka proposal ulaya na hupata misaada je Bakwata inafanya hivyo kwa nchi za kiarabu?mana ninavyojua waraabu ni matajiri mpaka pesa zao wanaenda kuwekeza timu za soka ulaya mf. bilionea wa Man city. Je Bakwata wana mpango gani endelevu kuwasaidia waislam kielimu i mean kujenga vyuo n.k? Hatuwez kulalamika ikiwa hatuonyeshi juhudi za dhati za kuandaa mazingira ya elimu kwa watoto wetu.
Wakati leo hii wakristo wanajenga shule,vyuo n.k Bakwata kupitia mufti wanapiga kelele kuilaumu Chadema eti inavuruga amani.

Chadema ni chama cha siasa kinachopigania haki ya kila mtanzania mnyonge,
Japo waislam kwa ujumla hawaipendi Chadema kutokana na sumu ya udini anayoihubiri Kikwete lakini bado vijana wasomi nikiwemo mm hatujakubali kudanganyika na propaganda na tar 16 wazalendo tunaandamana kupinga muswada wa katiba mbovu! je ndugu zangu waislam katiba bora tunayoipigania ni kwa ajili ya wakristo tu.

Angalizo, wakristo ndugu zangu hapa JF acheni jazba nk maneno ya kejeli mfano kahawa na kashata sijui ubwabwa hayafai, tujaribu kumuelimisha mtoa mada na waislam kwa ujumla ukweli na hali halisi,naamini si makosa yao bali elimu imewapita pembeni hasa ukizingatia waislam wasomi wapo asilimia ndogo tuki compare na wakristo hivyo, sote ndugu moja kiasi kwamba tupo watu kama mm hatuwez kukubali mifarakano ya kidini mana itakua ni kilio na huzuni kwasababu nina ndugu wa damu kabisa wengi wakristo na ndugu wa damu kabisa waislam na tunaishi kwa upendo tu.
Tanzania ni yetu sote bila kujali dini.

Wewe ni muislamu wa ajabu maana fikra zako zina mapungufu mno na naona hata elimu yako pia ina walakini, Unadai kutaka kushiriki maandamano ya chadema ili kupata katiba lakini hujuwi hata umuhimu wa hiyo katiba unadhani itajaza watu pesa mfukoni. Ninachojua tunachokipigania kwenye katiba mpya ni kuweka ground zitakazomsaidia kila mtanzania kujikwamua na kufanikiwa katika jitihada halali. Kama ungekuwa umesoma na kuelimika kama tunavyotarajia msomi awe ungejua kuwa kinacholalamikiwa na hwa waislamu ni mazingira yakiwemo mgawanyo usio sawa wa rasilimali na keki ya taifa. Wewe unasema wajenge shule na vyuo vikuu sawa na wakristo watapata wapi hizo hela wakati nafasi zote muhimu na ajira zenye maslahi zimechukuliwa na wakristo?. Yaani unapingana na ukweli kuwa ukoloni uliwaendeleza wakristo ili wawatawale waislam?. Na unawataka waislamu waendelee from no where!!!!. Wewe ni sawa na wale wanaodai watanzania wa kule vijijini ni masikini kwa kuwa ni wavivu. Mwisho nakushauri hata hizo harakati za katiba uachane nazo maana hujuwi lengo lake unatuigiza sisi tu tunaoelewa mambo.
 
Wanaunga mkono maazimio yote yaliyotangulia kutolewa katika mikoa mingine
ii) Wanaunga mkono tamko la Immam mkuu (Shehe Issa Bin Simba)- sasa dhuluma basi
iii) Wanaitaka serikali kuangalia uwiano wa kimadaraka katika ngazi zote za serikali
iv) Wanaiagiza Wizara ya Elimu ifuatilie na kuhakikisha waraka wa mavazi (hijabu,nk), na ibada kwa Waislamu wanafunzi inatekelezwa.
v) Wanamtaka waziri wa fedha kuthibitisha uhalali wa mkataba kati ya Wakristo na Serikali wa mwaka 1992.
vi) Wanasema suala la mahakama ya kadhi si ombi ila ni lazima litekelezwe na pia TZ ijiunge na OIC
vii) Wanaagiza ubalozi wa Vatican uondolewe nchini
2. MAAZIMIO YA KIMKOA WA ARUSHA
i) Halmashauri ya Arusha imepewa mwezi mmoja irudishe mali za Waislamu
ii) Waislamu wapewe kibali kujenga msikiti katika kiwanja cha NHC kilicho karibu na Mahali pa Kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
iii) Mahali ilipo stendi ya daladala ni mali ya Waislamu, irudishwe mara moja
iv) Kwa kuwa serikali ya JK ni halali kwa mujibu wa sheria, wanaoleta chokochoko waache mara moja.
v) Waislamu wanamuunga mkono Meya wa jiji la Arusha kuwa alichaguliwa kihalali, na wanamtambua kwa nguvu zote. Aachwe afanye kazi. Wao hawatakuwa tayari kuona upuuzi huo wa kumpinga.
vi) Kama Chadema itaandamana kama ilivyotoa taarifa ya siku 21, basi nao watatoka ili wapambane nao ili kujihami kwani maandamano yaliyopita yaliwaathiri
vii) Wanamwagiza IGP amrudishe kazini yule askari aliyesimamishwa kazi kwa kuwakamata wachungaji huko mto wa mbu. Pia mkuu wa kituo aliyehusika kumsimamisha kazi achunguzwe na kushughulikiwa.
viii) Waislamu wanasema sasa dhuluma basi.
 
Tatizo hatutaki kuambiwa ukweli, hv hayo masharti yaliyotolewa na wenzangu wa Tanga yanatekelezeka kweli?hebu angalia tu uhalisia kutaka mashule,hospital na vyuo vya wakristo vitaifishwe na vigawanywe, au ipigwe hesabu jumla ya ruzuku waliyopewa wakristo tangu uhuru ili waislam tupewe hv inawezekana kweli? Hizo pesa walizopata wakristo tangu uhuru serikali itazitoa wapi hivi sasa? Je wahindu,wabudha,bohora nao wakiamua kudai hali itakuwaje?Tujaribu kutoa madai ya msingi ambayo yakitekelezwa yatakua na faida hata kwa vizazi vijavyo, lakini ya sasa ni kuendeleza visasi na si kwamba kwa kuwa tupo nyuma kielimu tuki compare na wakristo basi hatuwez kuendelea tuanze sasa kujenga vyuo,mashule,mahospital n.k then tuone kama serikali itatunyima ruzuku!
Nashauri tuwe wabunifu ili tuweze kuendelea lawama na visasì havisaidii kitu!
Afadhali hata wangesema ili kuiondoa dhuluma hiyo wanayodai ipo mpaka sasa basi tudai kuwepo kwa wa uwanja sawa baina ya dini zote ndani ya katiba lakini sio hizi hoja za sasa zisizowezekana.
Then madai ya katiba kwa upande wangu naangalia matatizo ya Tanzania kwa ujumla ktk katiba hapa udini tuweke kando natanguliza haki na usawa kwa dini zote mana tupo kama mm wenye ndugu wakristo pia tena ndugu wa damu so wakristo wakikandamizwa ni ndugu zangu na waislam wakikandamizwa na mm mwenyewe na ndugu zangu pia!
samahani sana kama utaona nimekwenda kinyume na msimamo unaoutaka ww.
 
hapo yapo yenye mantiki ila hapo kwenye MKOA WA ARUSHA, kipengele cha iv, v, vi dah hapo sidhani kama busara imetumika,
 
mhh...navyoona muslim inabidi wajisajili ili kiwe chama cha siasa...kutokana na azimio la kukaa mnalumbana na chama cha siasa
instead of kujadili mambo ya kimaendeleo.

maana haileti mantiki katika jamii kuona muda wote wa matamko yenu Chadema inakuwa moja ya agenda zenu

je CCm itakapowageuka nyuso zenu mtaziweka wapi...jaribuni kusoma arama za nyakati, siasa ni mchezo mchafu
hivyo kitu kichafu ni hatari kukiunganisha na dini...kwa maoni yangu, wanasiasa hata siku moja sio ndugu..wanakutumia kwa muda
na pindi wakishafanikisha azma yao...wanakutupa kama bua...hivyo epukeni aibu hiyo ya kutumiwa..itawagharimu

maana Chadema wamepanga kufanya maandamano ya kupinga katiba na hawajataja uisalam...kwa mtu mwenye jicho la tatu na upeo wa kufikiri haingii akiriini....haya tunasubiri tamko la kuwaona kwa TENDWA
 
Ndugu, hawajamaa wametumwa. Sikuzote "If you see a frog jumping vigorously in a day broad light you should know that a drama is within the vicinity"
 
Ukiwauliza ushahidi wa mambo mengi wanayodai na kuyazungumza hawana.Wasiwasi angu ni njaa zinawasumbua maustaadhi wanautumiwa na ccm kuzungumzia siasa badala ya kueneza imani.Nawaasa ndugu zangu somesheni watoto waelimike hawatakubali kununuliwa na kutumiwa ovyo kama nyie.
 
ushahidi upo kaka wala hawazungumzi bila kutoa reference mi nilikuwepo pale arusha kila mzungumzaji alikuwa anasimama na reference na baadhi yake ni hansard za bunge la uingereza, desertation ya mwanafunzi wa udsm kuhusu azimio la arusha, kittabu cha askofu mmoja wa kikatoliki, kitabu cha nyerere mwenyewe bila kusahau kile cha abdul wahid sykes na vingine vingi so ktk hili la ushahidi wanao mwingi sana
 
Mkuu Hemed,
maadam una ushahidi, na hili ni jukwaa la great thinkers; nadhani ingekuwa vema ungefafanua zaidi ili members wengi wapate uelewa kuhusu:
i.Yaliyohifadhiwa kwenye hansard za bunge la uingereza
ii.Hitimisho la hiyo desertation ya mwanafunzi wa UD
iii.Yaliyosemwa katika kitabu cha Nyerere
iv.Yaliyosemwa katika kitabu cha Abdul Wahid
Hii itasaidia wengi kujenga msingi wa --kuikubali au kuikataa-- hii mada
 
Wanaunga mkono maazimio yote yaliyotangulia kutolewa katika mikoa mingine
ii) Wanaunga mkono tamko la Immam mkuu (Shehe Issa Bin Simba)- sasa dhuluma basi
iii) Wanaitaka serikali kuangalia uwiano wa kimadaraka katika ngazi zote za serikali
iv) Wanaiagiza Wizara ya Elimu ifuatilie na kuhakikisha waraka wa mavazi (hijabu,nk), na ibada kwa Waislamu wanafunzi inatekelezwa.
v) Wanamtaka waziri wa fedha kuthibitisha uhalali wa mkataba kati ya Wakristo na Serikali wa mwaka 1992.
vi) Wanasema suala la mahakama ya kadhi si ombi ila ni lazima litekelezwe na pia TZ ijiunge na OIC
vii) Wanaagiza ubalozi wa Vatican uondolewe nchini
2. MAAZIMIO YA KIMKOA WA ARUSHA
i) Halmashauri ya Arusha imepewa mwezi mmoja irudishe mali za Waislamu
ii) Waislamu wapewe kibali kujenga msikiti katika kiwanja cha NHC kilicho karibu na Mahali pa Kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
iii) Mahali ilipo stendi ya daladala ni mali ya Waislamu, irudishwe mara moja
iv) Kwa kuwa serikali ya JK ni halali kwa mujibu wa sheria, wanaoleta chokochoko waache mara moja.
v) Waislamu wanamuunga mkono Meya wa jiji la Arusha kuwa alichaguliwa kihalali, na wanamtambua kwa nguvu zote. Aachwe afanye kazi. Wao hawatakuwa tayari kuona upuuzi huo wa kumpinga.
vi) Kama Chadema itaandamana kama ilivyotoa taarifa ya siku 21, basi nao watatoka ili wapambane nao ili kujihami kwani maandamano yaliyopita yaliwaathiri
vii) Wanamwagiza IGP amrudishe kazini yule askari aliyesimamishwa kazi kwa kuwakamata wachungaji huko mto wa mbu. Pia mkuu wa kituo aliyehusika kumsimamisha kazi achunguzwe na kushughulikiwa.
viii) Waislamu wanasema sasa dhuluma basi.

Aisee imenichekesha hii habari naongezea na swala la elimu iwe nusu kwa nusu nayo,pia vyuo vikuu vyote vya makanisa vifutwe mara moja ala!
 
Crap. No evidence no right to... Tamaa mbaya, wafanye kazi kwa bidii, porojo hazifai.
 
Back
Top Bottom