Tamko la waislam wa Tanga

Tamko la waislam wa Tanga

Mboni ni Matamko ya Waislamu Dar, Tanga, Zanzibar sijasikia Mwanza au Bukoba au Tabora? hayo ni Maeneo ambayo hao Waislamu wana Ukabila pia kwahiyo ni vigumu kutoa Matamko... they are rich in both religion as well as culture....
 
Wewe ni muislamu wa ajabu maana fikra zako zina mapungufu mno na naona hata elimu yako pia ina walakini, Unadai kutaka kushiriki maandamano ya chadema ili kupata katiba lakini hujuwi hata umuhimu wa hiyo katiba unadhani itajaza watu pesa mfukoni. Ninachojua tunachokipigania kwenye katiba mpya ni kuweka ground zitakazomsaidia kila mtanzania kujikwamua na kufanikiwa katika jitihada halali. Kama ungekuwa umesoma na kuelimika kama tunavyotarajia msomi awe ungejua kuwa kinacholalamikiwa na hwa waislamu ni mazingira yakiwemo mgawanyo usio sawa wa rasilimali na keki ya taifa. Wewe unasema wajenge shule na vyuo vikuu sawa na wakristo watapata wapi hizo hela wakati nafasi zote muhimu na ajira zenye maslahi zimechukuliwa na wakristo?. Yaani unapingana na ukweli kuwa ukoloni uliwaendeleza wakristo ili wawatawale waislam?. Na unawataka waislamu waendelee from no where!!!!. Wewe ni sawa na wale wanaodai watanzania wa kule vijijini ni masikini kwa kuwa ni wavivu. Mwisho nakushauri hata hizo harakati za katiba uachane nazo maana hujuwi lengo lake unatuigiza sisi tu tunaoelewa mambo.

katika watu wa ajabu dunian basi waweza kuwemo. Mwenzako kawashaur waislam kuwa tatiz sio wakritu kupata mgao ni strategy zao tu kitu ambacho akiwazuii waislamu nao waombe na watapewa. Kasema kuna hospital, shule, vyuo nk na wao wanaandika maproposal kibao wanaomba ulaya. Nyie mmeshaomba kwa waarabu wenzenu mkanyimwa mbona kuna wapo wenye pesa nyingi mpaka wanawekeza kwenye mpira like man city. Tatizo ni elimu nyie badala ya kuomba kujengewa shule mnaomba misikiti tu kias kwamba kila baada ya nyumba kumi msikit unategemea nini hapo? Nakuomba utumie elimu yako kujibu hoja sio kukurupuka na udin tu. Hv we unadhan wakristu wakisema tutaudumia wakristu wenzetu kwenye mahospital, shule, vyuo, maji, umeme, nk kwa huduma zote nyie waislamu mtaenda wapi?
 
Nonsense,serikali yenyewe imeshndwa kuendesha shule ilizonazo wajiongezee mzigo wa nini?jamani embu tuweke dini pembeni tutumie akili zaidi,
 
Wanafikilia kwa kutumia elimu ya madrassa. Hongera waislam wa Tanga kwa tamko ambalo limeonyesha uelewa wenu. KEEP IT UP!
Elimu ya madrasa. Ni wataalamu wa utafiti wa kodi. Wanawaza kuoa wanawake wanne and a lot of concubines
 
Poleni sana ila najua hekima ya MUNGU haimo ndani yenu. Shule pia ni sababu..Ndio maana tunawasomesha kwenye shule za wakristu ili muwe na hekima. What a stupid idea??

Mnataka majimbo kwa ajili ya maendeleo au kujitawala kidini???

Mi naomba waislamu wasomi watoe tamko dhidi ya VIONGOZI WAO.
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Mh! kumbe kweli akili ni nywele. Ukizifunika na kibandiiko akili haifanyi kazi.
 
kijana anasema ati patatokea machafuko, labda ungeanza kufikiri ikiwa hapa dsm machafuko ya udini yakitokea yataanzia wapi na maeneo gani yataathirika zaidi? au utasema kote!
 
Ndugu zetu wanamaanisha hivi, Watu wote wa ULAYA wahamie Afrika na WAAFRIKA wakaishi ULAYA. Jibu lake ni dogo, baada ya muda mfupi afrika itakuwa ulaya na ulaya ya waafrika itakuwa afrika. Udini sio hoja, hoja ni kubadili mind set za hao ndugu zetu.
 
katika watu wa ajabu dunian basi waweza kuwemo. Mwenzako kawashaur waislam kuwa tatiz sio wakritu kupata mgao ni strategy zao tu kitu ambacho akiwazuii waislamu nao waombe na watapewa. Kasema kuna hospital, shule, vyuo nk na wao wanaandika maproposal kibao wanaomba ulaya. Nyie mmeshaomba kwa waarabu wenzenu mkanyimwa mbona kuna wapo wenye pesa nyingi mpaka wanawekeza kwenye mpira like man city. Tatizo ni elimu nyie badala ya kuomba kujengewa shule mnaomba misikiti tu kias kwamba kila baada ya nyumba kumi msikit unategemea nini hapo? Nakuomba utumie elimu yako kujibu hoja sio kukurupuka na udin tu. Hv we unadhan wakristu wakisema tutaudumia wakristu wenzetu kwenye mahospital, shule, vyuo, maji, umeme, nk kwa huduma zote nyie waislamu mtaenda wapi?

afadhali hiyo misikiti basi wanayojenga kila baada ya nyumba kadhaa ingekuwa hata na hadhi ya kuitwa nyumba ya kuabudia bali ni viota utadhani ni vijumba vya mtu binafsi. hebu angalia hapa dsm makanisa yanavyojengwa yenye hadhi hata ukipita utageuka uangalie tena, lakini wenzetu hata parking hamna sa sielewi hiyo misikiti inahudumia watu wangapi? kwa nini wasinunue maeneo ya kutosha ili hata kizazi kijacho kipate sehemu ya kuabudia? au kizazi kijacho kitajiju nakusema babu/baba zetu walionewa!
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Kama sikosei miaka ya nyuma mzee mwinyi aliwahi kutusisitiza kuwa "tusing'ang'anie elimu ya madrasa peke yake ila tujitahidi kusoma elim dunia pia"
 
Kama nalo hili Tamko! basi kazi ipo,Tusibiri Tamko la waislamu Lindi na Mtwara kukataa gesi yao isipelekwe Dar es Salaam.
Tanzania yetu sote
Sote ni ndugu

waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011
 
mimi nawashangaa sana hawa wenzetu,can they tell us reasons za kusema kuwa mfumo wa serikali ni mfumo kristo?wanapenda mambo ya udini bila kufikiria kuwa wanalipelekea taifa pabaya,kwanini wanapenda kujitenga?hizo kodi walilipa wenyewe tu na wana uthibitisho gani kuwa hayo majengo yalitumia kodi za watz?kwa kweli sielewi tunaelekea wap tukiendelea hiv sijui kama tutafika...
 
natamani siku moja nihudhuria vikao vya hawa jamaa, sijui huwa huwa wanawaza nini? yaaani sipati picha ya mwanzisha mada na wachangiaji sijui huwa huwa wanawaza nini? nina mashaka makubwa kwamba tunaishi nao kwenye karne hii
 
Hawa watu wa dini dini hii wanamatatizo sana ya kufikiri,kila siku wao ni kulalalmika,waangalie somalia wamebaki wenyewe lakini nchi haisongi tena mbele ni tabu juu ya tabu.
NAZANI TATIZO KUBWA NI KWAMBA WANATAKA KUISHI MIAKA CALENDER YAO INAYOSEMA,NAZAN WAPO KWENYE MIAKA YA 1432,SASA KAMWE HAWAWEZI KWENDA SAWA NA REALITIES ZA KARNE HII YA 21
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/

Udini hautatufikisha mahali popote maisha yetu hatukulelewa kwa aina hii ya hawa Waislam kuweka udini mbele ktk masuala ya Watanzania wote.
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011
Hamtathubutu kwenda kinyume na JK "muislamu" mwenzenu. Msituletee unafiki wa kutumika kama magogo ya chooni hapa!
 
Back
Top Bottom