Tamko la waislam wa Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la waislam wa Tanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Apr 8, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
  1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
  2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
  3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
  i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
  ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
  kodi kila jamii ilivyotoa
  ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
  yao kwa miaka yote tangu uhuru.
  Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
  stahiki yetu
  4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
  tamko la dar es salaam lilivyosema
  source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mtumbwi ni chombo muhimu huko zenji ila ni gogo la kuachwa shambani litafunwe na mchwa huku tabora
  so siasa za kidini (JK ujinga) kwetu ni gogo na waachie wenyewe
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hivi mbona.... Nitarudi.
   
 4. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Ridiculus
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mimi kwenye huu uzi nimependa avatar ya mtoa mada tu.

  hayo mengine subiri kwanza nifanye kazi inayonifanya niitwe mwanaume mtaani kwangu.
   
 6. S

  SON OF DAVID Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja nimalizie kunywa Chai halafu nitatoa maoni yangu.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Hapa sitakaa nitoe maoni yangu. Bora niendelee kuchapa kazi nijenge taifa.
   
 8. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mie hiyo avatar tu! Lol!
  Hayo mengine tuwaachie wenyewe watoto wa Kitanga!
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Nchi inavyopelekwa tutaendelea kusikia mengi
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe kuna watu wanasoma al-nuru & al-huda,...
   
 11. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wanafikilia kwa kutumia elimu ya madrassa. Hongera waislam wa Tanga kwa tamko ambalo limeonyesha uelewa wenu. KEEP IT UP!
   
 12. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hawa nao tushawachoka mala waseme hawataki dini ziingilie siasa mala wanaingilia siasa ilimradi tu waivuruge serikali yaani maustaadh mna tabu sana mara dr ni askofu mala padri hv kwann mnashindwa kutulia??kila sehemu mnaharibu tu!kwa kauli zisizoenda shule!mkiambiwa mthibitishe hayo madai yenu mnaweza?
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ghosh...! Another thread ya udini! Meeeen! Ant you tied...!? Give me a break!
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wakienda shule wataacha...
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280

  Hawa Jamaa ni CHADEMA nini?
  au hawajuhi kuwa hizo ni sera za CHADEMA?
   
 16. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wahenga walisema ''asiyejua maana haambiwi maana'' kwa hiyo tuwaache jinsi walivyo.
   
 17. Niko

  Niko Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wameona Nigeria kuna ukanda wa Kaskazini unaofuata Sharia na sehemu nyingine ni Wakristo ndio wanataka kuiga, yani kwa akili zao kabisa wanaona tunaweza kuwapa mikoa fulani miwili mitatu ikawa ni ya Kiislamu tu. Jamaa wana nini vichwani?
   
 18. L

  Losemo Senior Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanga kunani. Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na hayo yote mtazidishiwa
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kazi ipo. Mwatakani nyie waislam? Hebu enezeni neno la Mungu, hayo mengne co kazi yenu. Mme2mwa na shetani nyie eeh! Polen kwa upeo mdgo wa kufkr.
   
 20. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  oooh another new track from our beloved whingers a.k.a watoto wa mama mdogo...
   
Loading...