Mimi naona kama mnahangaika tu,mwisilamu akisema ukweli juu ya makataba wa Mwl nyerere na Kanisa katoliki mwislamu anaonekana ni mjinga,mlevi wa kahawa,hajasoma,
ila ipo siku tu mjinga atanyoosha kidole akiwa ktk chupa,Tukubali tu kuwa sisi wakristo tulipewa huo upendeleo hata kama hatutaki uwe wazi kwa kila mtanzania,tambueni lisemwalo lipo na kama halipo laja,hii ni mala ya 10 naliona hili hapa Jf na watu mnalichukulia kwa utani lakini ipo siku mwisho wake utafika
Wana Jf hii nchi tunakoelekea ni ktk machafuko tu na ni mda si mrefu haya yatatokea pindi walewaliokandamizwa kwa mda mrefu watakapo sema sasa basi,
kwa upande wangu nachukuwa hizo hoja kwa uzito wa pekee kwani ni habari zipo na mala kwa mala zinazungumzwa mitaani
mungu bariki tz