Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

We ni mjinga kwelikweli Egypt wenyewe hawawataki Wapalestina kwenye nchi Yao.

Nenda kwenye page za serikali ya Egypt ukasome
Wapalestina walikwambia wanaitaka Egypt?

Sikushangai, nafahamu katika amri zenu kumi hakuna ya "usiseme uongo".
 
Egypt hapo wanacheka tu, hawahitaji kufunguwa mpaka. Hivi huelewi siku zote kuna mabarabara ya chini ya ardhi baina ya Egypt na Gaza?

Kweli umelala.
Taarifa ya muda huu asubuh


Jeshi la Israel linawaomba wananchi waondoke Gaza kusini Ili wapige operation ya kuwasaka hamas nyumba Kwa nyumba Hadi chini ya ardhi kwenye tunnels.


Sasa wewe endelea kuleta ujinga wako watu wanakufa
20231013_075624.jpg
 
Muislam ni haki yake kujihami anapoonewa. Kumbuka hilo.


Hakuna Muislam anayetaka vita duniani.

Uislam ndiyo dini pekee ya amani duniani. Kumbuka hilo.
Kasome hizi sura kwenye Quran tuone kaka dini yenu ni ya aman kweli


Surah 3:15

Surah 2:191

Ikibidi zipandishe hapa kila mtu ajisomee
 
Back
Top Bottom