Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022.

Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika:

“Maamuzi ya kufutwa kwa kesi dhidi ya Freeman Mbowe ni nafasi nzuri kwa Tanzania kubadili ukurasa na kutazama maisha yajayo. Sasa tufanye kazi kwa pamoja tukiwa na matarajio ya kufanya mambo makubwa katika fursa zilizopo, tutengeneze kesho yenye amani, ustawi na uhuru kwa watu wote.
 
Hata dunia ilitushangaa kwa matendo yetu🤔
 
Mungu wabariki wazungu
 

Jiwe limerushwa gizani. Wanasiasa na hasa wa ccm Wana la kujifunza.
#Stronger_Together
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu. Aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia nyenendo zake hadi chooni.
 
Bado unawaona Marekani ni watu wa maana?
 
Well said , Sasa tunaanza upyaaaa kudai katiba mpya, katiba ya Warioba
 
Wazungu wanatupenda sn sema sisi ndiyo hatupendani
 
Hayo ni maoni yake binafsi usiseme tamko la marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio NATO alliance kule Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…