Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Swali dogo tu,mkanda ule feki au orijinol?me nimeuona unatisha na unapanga mauaji.tunajua historia MABERE, lkn hivi karbuni alikuwa anawatetea wezi wa EPA Mahakamani lkn chama chake kinaimba Ufisadi,kama alivyosema MWIGULU wanaroga haohao lkn mtu akifa wanalia haohao,mchana watu usiku "nyau nyau".

Is "EDITED" Original or Fake to you? Kama reference zako ni Mwigulu hupaswi kuwa ktk jamvi hili kabisa
 
Wazubutu kufanya hivyo waone nadhani siku hiyo itashuhudia mengi watu tutakufa ila ninaamini wajukuu zetu watapata maisha mazuri. Heri kifo kuliko kuishi maisha haya ya uccm
Nasikia bado wana nyingine ambayo wameiandaa ya jaribio la CHADEMA kumpindua Kikwete. Na wanasema na yenyewe wataicheza mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Ni katika harakati ya kutafuta sababu ya kukifuta CHADEMA. Maana Tendwa ni mtu wao, ataibuka tu na kutangaza kwamba amekifuta chadema kwa kuwa ni chama cha kigaidi or kinafanya mipango ya kuipindua serikali.
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm

Kwahiyo hapo umefikiria mpaka mwisho wa uwezo wako wa kufikiri na ukaona hili ndilo la kuandika hapa,note that,Do not be sily in sily thinkers because at last you will be completely IDIOT among ------!
 
Kwa ushahidi huu wa mauaji na utesaji unaoasisiwa na serikali, Rais yuko uchi na sijui kwanini asijiuzulu tuu mwenyewe maana ni kama kutembea barabarani uchi na watoto wakikuonyesha unawapuuza. Kwenye sakata la Richmond alinusurika kwa kumtoa kafara Waziri Mkuu. Je sasa atamtoa nani kafara wakati hadi wanafamilia yake wanahusika na mauaji. Aibu tupu.
 
Chadema ni chama cha magaidi na watesaji, speech ya mwigulu bungeni imewachanganya sasa wanaweweseka kila siku wanakuja na tamko jipya
 
"Naye Shaali ndiye aliyekutana na afisa wetu wa usalama, Ahmed Sabula na mwenzake, Machi 29 mwaka huu katika hoteli ya See Cliff jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo kati ya Sabula, kijana wetu wa usalama na afisa usalama wa serikali Bw. Shaali alitaka Sabula akubali kutumika kwa kutoa taarifa za vikao vya chama, kuwasilisha kwake nyaraka za kamati kuu na kueleza mipango ya chama katika kesi ya Lwakatare."

......TISS hamna kitu wamezidiwa akili na Usalama wa CDM?!! ndio maana nchi inayumba...sasa kama wamewarekodi wapeleke ushahidi pia mahakamani...

"Aidha, kitendo cha Ludovick kuwasiliana Msaky; Ighondo kuwasiliana na Mwagha, Ridhiwani Kikwete kuwasiliana na Ighondo, tena kila baada ya Ighondo kuwasiliana na Ulimboka na Jack Zoka, ni uthibitisho mwingine kuwa genge hili la wahalifu linashirkiana na baadhi ya watu kutaka kuangamiza taifa."

Hivi Riz1 kumbe mpuuzi hivi ndie anae ratibu mauaji na mateso kwa raia!! anadhani UWT ndio kila kitu?..kiama chake kimefika....
 
Sasa hizi mbwembwe zinaondoaje ugaidi wa chama uliokuwa unapangwa na lwaka? Aisee maando umegota, na umekigotesha chama
 
zitto metoa rai.mbona mnamzingua kijana wawatu sababu ya kutaka kugombea urais tu
 
Mm Bana biga uwa Chadema CHAMA langu...
Bora nipigie jiwe kura yangu lakini Sio CCM..
Maisha.
 
Kuna kitu tunaweza kujifunza hapa. Katika hivi vinchi vyetu vya kipuuzi ambavyo watawala wanahubiri hivi lakini wanatenda vile; wanahubiri demokrasia lakini wanatenda ufashisti; kuanzisha chama cha siasa unahitaji pia kuwekeza sana kwenye system bila hivyo sahau.

Nadhani kwa kipindi kirefu ambacho hawakujishughulisha sana "kukimbilia" Ikulu hawa Chadema waliamua kwanza kuwekeza kwenye system na ndiyo inayo payback hivi leo.

Siasa katika haya mataifa masikini inahitaji akili ya hali ya juu badala ya kutegemea hisani ya watawala unless mnataka kuwa wasindikizaji tu bila vision au mission yoyote. Sio utani Chadema wana vichwa! Duh!
nakubaliana na wewe na nadhani hii michezo ndo imeifanya ccm waamini watadumu milele
 
Lengo la chadema kutoa haya matamko ni kwamba wanataka wajibiwe na serikali au CCM halafu mwanaharakati wao mwanakijiji na wenzake weaendeshe haraki za kutaka kesi ifutwe.

Wote mlishuhudia Mbowe alivyoenda kuungumzia kesi Bungeni halafu mwanakijiji very quickly akaanzisha harakati za kutka kesi ifutwe. Kwa sababu harakati zile hazijafanikiwa sasa wameamua kuja nje ya Bunge ili kusiwe na kinga ya Bunge.
 
Kwa ushahidi huu wa mauaji na utesaji unaoasisiwa na serikali, Rais yuko uchi na sijui kwanini asijiuzulu tuu mwenyewe maana ni kama kutembea barabarani uchi na watoto wakikuonyesha unawapuuza. Kwenye sakata la Richmond alinusurika kwa kumtoa kafara Waziri Mkuu. Je sasa atamtoa nani kafara wakati hadi wanafamilia yake wanahusika na mauaji. Aibu tupu.

hakuna kitu hapa magaidi wanaweweseka tu. Hizi mbwembwe hazibatilishi video ya lwakatare.
 
Ndugu zangu wana JF

Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.

Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.

Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.

Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.

Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.

Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.

Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.

Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.

Kwa utaratibu wa makapuni ya simu yote namba yoyote iliyosajiliwa isipotumika kwa muda fulani taarifa zake hufutwa na kutengenezwa SIM card mpya yenye namba ileile. Mfano vodacom usipoitumia sim card yako miezi sita tu wanafuta taarifa zako na kuitengeneza nyingine na kuipeleka sokoni. Maswali ya kujiuliza ni

a) kama SIM card mpya ilitengenezwa na kupelekwa sokoni, je aliyeinunua ni bwana Zoka?
b) Kama ni zoka aliinunua kwanini isajiliwe kwa jina lako na siyo zoka?
c) kwanini umeendelea kuitumia au kuiacha namba hii kwenye business card yako mpaka leo wakati huitumii?
d) Kwa kuwa miezi 3 imepita tangu taarifa zako zifutwe na vodacom na hivyo sim card yako kutengenezwa na kupelekwa sokoni kwanini bado unaonekana mmiliki halili wa hiyo sim card?
 
Ndugu zangu wana JF

Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.

Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.

Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.

Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.

Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.

Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.

Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.

Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.

Asante mkuu kwa kuweka bayana hili suala la namba.

Binafsi naona CHADEMA, kwa mara nyingine tena wamefanya "wrong move".

Matamko na press conference zimezidi mpaka mwelekeo haueleweki. Kila kiongozi anazungumza anavyojua yeye. Ni aibu kwa chama kinachojinasibu kuwa makini.

Ulitueleza hapa kuwa mmekubaliana kuwa katika suala la kesi ya Lwakatare mzungumzaji kwa niaba ya chama atakuwa ni Mh. Lissu peke yake. Lakini haijapita hata wiki Marando naye anakuja na vioja vyake.

Umakini wa taasisi yoyote ujidhihirisha wakati wa majaribu. Katika hili sio siri Chadema mumefeli.

Kwenye ukweli lazima tuelezane wazi wazi.

Suala lipo mahakmani, kama mna ushahidi substantial si muupeleke mahakamani.

Au ndo chama kinatafuta public sympathy?
 
uko sawa make watu wazima kama malando wanakaa na kutunga uongo mtu kama zito kapigania chadema maishayake yote halafu leo anaonekana msaliti kweli watu hawana shukuruni.

Hivi sio huyu Zitto alokwambia ufanye ya chama chako mkuu? Keshakukana huna haki ya kuongelea yakwake na chama chake. Hivi bado unataka agombee urais au umeshabadili upepo
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana JF

Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.

Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.

Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.

Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.

Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.

Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.

Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.

Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.

Red ya kwanza, unauhakika gani kuwa Jack Zocka hatumii hiyo namba??
Red ya pili, unakiri kuwa kuna mipango ya kukihusisha chama chako na ugaidi..(sasa kwanini unasema kwa uhakika kuwa Zocka hatumii iliyokuwa namba yako?
Red ya tatu, una sema Msaky ni victim..unauhakika gani ilhali umeishasema kuwa kuna njama za kukihusisha chama chako na ugaidi na njama hizo hazitafanikiwa? kwanini unamuamini kiasi hicho?

Swali la mwisho..kwanini uliacha kuitumia namba yako hiyo?
 
Wazubutu kufanya hivyo waone nadhani siku hiyo itashuhudia mengi watu tutakufa ila ninaamini wajukuu zetu watapata maisha mazuri. Heri kifo kuliko kuishi maisha haya ya uccm
Hehe, sema mimi natamani watakapotaka kuigiza kupinduliwa kwa kikwete, wageukane wenyewe kwa wenyewe halafu wampindue kikweli kweli.
 
Siku zote hua nasema fisadi anajua kujilinda jamani ccm wezi!! Zile billion 619!!hazieleweki!!nimeamini kwa nini baadhi ya nchi hua zina waasi mwanzo hua hivi hivi!!ccm kama hamtaki kutoka madarakani tendeni haki acheni wizi!! Tanzania inanuka rushwa!! Wizi wa mali ya umma kubambikiziwa kesi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom