waswas wangu ni kwamba, itakuja kuthibitika katika tarehe hizohizo, namba hizo na watu hao walikuqa wanawasiliana na ama Mbowe,Slaa , Zitto,Mnyika ama kiongozi yeyote muandamizi wa CDM. la nsingi sio nani aliwasiliana na nani kwa myda gani bali ni waliwasiliana kuhusu nini.... walio na akili fupi kama maisha ya funza wanaweza kudhani kuwa kesi imeisha kumbe ndio kwaaaaaanza kumekucha
Ndio maana hiiissue anayeitamka upande wa ccm ni nchemba pekee, unajua nashangaa issue ya ugaidi itamkwe hata na Nape, ina maana nao wamemshitukia, wanacheza salakasi huku wamevaa mataulo
Wadau, siamini kama tamko hili limetolewa na mwanasheria ambaye si tu amebobea katika fani yake bali pia ni mtu ambaye aliwahi kufanya kazi katika idara ya usalama wa taifa kutokana na ushahidi wa tamko lake hili. Cha kusikitisha zaidi, ameongea mambo ambayo anajua kuwa anayo fursa kupitia mahakama kueleza yote hayo ambako ninaamini ndiko kwenye msaada mkubwa kuliko kuongea na waandishi wa habari ambao wataishia kuandika tu. ninajua kwa sasa chadema wanatafuta huruma za wananchi kupitia matamko yao hayo kwa vile wamechungulia na kuona kuwa hawawezi kushinda kesi ya lwakatare.
Washwa Washwa, usi washwe washwe!, ingekuwa mahakama inafanya kazi kwa kusoma jf, then ni kweli ningeitwa kama "amicus curiae" kufafanua kwa nini nilisema ile video ni "bonafide genuine!". It is "bonafide genuine!" hapo ndipo niliposimama!. Kila siku nasema humu, sasa naugeuza ni wimbo!,huyu nae itabidi aunganishwe kwenye kesi, kwa nini alishiriki kutuaminisha uongo kama hakutumwa kufanya hivyo?
mkuu, we nichukulie poa tu, nabwabwaja tu maana ndio starehe yangu... tena leo jumapili nashushia mibwabwajo na kabia kamoto
hapo kwenye red ndio tatizo lako pia wewe,
hujaelewa au unajifanya hujaelewa?? Mwenye tatizo hilo ni wewe na si watanzania.
Bungeni mbona unaandika vitu kw pressure?
muda ndo ushafika, kila kitu kinakuwa hadharani!
Asante sana Marando!! Ndicho niwezacho kusema!!
Nawashangaa magaidi kurukaruka Maana hizi mbwe mbwe kwenye Tamko haziondoi ukweli wa Yale yaliyopo kwenye video ya lwakatare. Marando angetuambia Yale anayoongea lwakatare Sio kweli Tamko lake lingekuwa na maana
Du kumbe naargue na watu ambao pombe zimekolea kichwani. Ninaamini hata marando ameandaa tamko hili akiwa njwiii
Mkuu yawezekana ndo aliyeko zamu,Nahisi kwenye hili sakata na wewe unahusika wenzako wa magamba saa hizi wako kimya umebaki wewe tu.
Washwa Washwa, usi washwe washwe!, ingekuwa mahakama inafanya kazi kwa kusoma jf, then ni kweli ningeitwa kama "amicus curiae" kufafanua kwa nini nilisema ile video ni "bonafide genuine!". It is "bonafide genuine!" hapo ndipo niliposimama!. Kila siku nasema humu, sasa naugeuza ni wimbo!,
kuwa "bonafide genuine!" haimaanishi mkanda huo ndio ushahidi wa jinai husika!.
Pasco.
Huyo kigogo wa JF ni nani?
Ajitokeze mwenyewe!
Mwigulu amewaambia msitafute mchawi, hamjamsikia kumbe
Na huyo ndio Pasco mzee wa bonafide genuine..