TAMISEMI mna tatizo gani?

Jeremy Bentham

Senior Member
Apr 22, 2019
118
131
Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript imeonekana, mnafeli sana TAMISEMI katika hili.
 
Ajibu barua ya kusitisha ajira akiambanisha nakala ya vyeti kuonyesha somo hilo amelisoma na kulifanyia mtihani.
Asikubali kupokonywa tonge mdomoni.
 
Back
Top Bottom