TAMISEMI mna tatizo gani?

TAMISEMI mna tatizo gani?

Walimu wa civics so ni wake waliosoma political science; au hata DS inakubalika?
 
Huyo ndgu yako in mwalimu masomo gani?
Aliomba kama mwalimu wa Kiswahili na GS tena shule ya msingi ndo alikoomba ila degree yake ya ni Bachelor of education in special needs UDOM , somo aliloOpt chuo ilikua Kiswahili , hio DS au GS wanavoita wao ni compulsory course kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu , sasa hapo why wsitishe Ajira kisa eti GS na GS kaisoma level zote A level na Chuo pia kama DS
 
Je Tangazo la ajira liliweka kigezo hicho Cha kusoma GS?... Kama hawakuweka huo Ni usumbufu na utapeli...
Hata kama wangeweka kigezo cha kusoma GS hakuna chuo kinafundisha GS bali ni DS na ni compulsory course kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu hasa hao wa masomo ya ualimu sioni logic ya TAMISEMI kumstishia Ajira kijana huyu .
 
Kwenye kuomba alidanganya kuwa anafundisha political science na kiswahili.....


Uhakiki unaendelea kimyakimya. Tutawachomoa wote waliojipatia ajira kwa udanganyifu au kubebwa na maafisa wetu wasio waaminifu.


Zoezi linashughulikiwa na vyombo kama 7.


Tunaomba ushirikiano.
 
Kama alidanganya masomo wakati wa kutuma maombi acha ile kwake.

Hao ndo walikuwa wanajaza kwenye mfumo masomo ambayo hawajasomea. Tena ikibidi mkurugenzi amkamate kabisa ashitakiwe kwa kosa la kujipatia ajira kwa njia za udanganyifu.
 
Aliomba kama mwalimu wa Kiswahili na GS tena shule ya msingi ndo alikoomba ila degree yake ya ni Bachelor of education in special needs UDOM , somo aliloOpt chuo ilikua Kiswahili , hio DS au GS wanavoita wao ni compulsory course kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu , sasa hapo why wsitishe Ajira kisa eti GS na GS kaisoma level zote A level na Chuo pia kama DS
Tatizo ni hicho alichoomba kufundisha aliomba awe mwl wa kiswahil na general studies wakati hajasomea hilo somo la gs kwa ajili ya kufundishia huko shuleni alilisoma kukamilisha kozi tu.


Tuendelee kumpa ushauri tu ila alidangnya masomo wakati anaomba kazi.

hiyo degree yake aliyoisoma inampa sifa ya kufundisha somo la kiswahili ila haimpi sifa ya kuwa mwl wa general studies au civics.
 
Acha uongo ww kama hujui usiandike. Sijui pumba gani umeandika hapa. Hivi umepita Chuo kikuu kweli ww? Nasikitika sana kukudharau na kukupuuza ila acha iwe ivo kwani inaonesha huna akili
Endelea kuniradhau tu ila niambie wewe uliyepita chuo kikuuu mtoa mada amesema aliomba awe mwl afundishe kiswahil na general studies? je mtu anayestahili kuwa mwalimu wa general studies anatakiwa asome nini chuoni?
 
Kwahy mtu aliyesoma political science ni mwalimu tangu lini?
kumbe haujui. Let me explain to you. Mwalimu wa civics anatakiwa asome SoMo linaloitwa political science

Usichanganye political science ( ps) na political science and public administration (pspa)
 
Acha uongo ww kama hujui usiandike. Sijui pumba gani umeandika hapa. Hivi umepita Chuo kikuu kweli ww? Nasikitika sana kukudharau na kukupuuza ila acha iwe ivo kwani inaonesha huna akili
riro23 yuko sahihi, Nafikiri wewe ndiye huna akili kwa sababu umeingilia kati mada pasipo kujua kiini cha tatizo.

Huyo mwenzio unayemtetea aliomba kazi kama mwl wa kiswahili na general studies Lakini cheti chake kinaonyesha ana umahiri/ubobevu katika somo moja tu la kiswahili.

Tukija kwenye utetezi wake anajitetea kwamba amesoma General studies(GS)chuo kikuu kama development studies(Ds). Kimsingi utetezi huu ni dhaifu kwa sababu DS alisoma kama kozi tu ya kumwezesha kupata "partial knowledge" lakini hana ubobezi(deep knowledge) au"umahiri" katika somo hilo.

Ingekuwa ni kiingereza tungesema haja "specialize" katika somo la GS hivyo hana "qualifications"za kumwezesha kufundisha somo la GS. Yani hapo ni sawa na mtu kulazimisha kuwa "traffic police" eti kwa sababu alisoma topic ya "Road accident" na "road traffic signs" kwenye somo la civics akiwa kidato cha kwanza.
 
Back
Top Bottom