Hahaha we jamaaKwenye physics tunaita "Block and tackle system"
ungefuata utaratibu wa kawaida tu kwa kumsaidia, na isitoshe hiyo ni confidential huoni kama umeharibu zaidi.?Musoma
Hata hivyo lawama zake hazina msingi sababu alijipatia ajira kwa njia ya udanganyifu kwa kudanganya masomo.ungefuata utaratibu wa kawaida tu kwa kumsaidia, na isitoshe hiyo ni confidential huoni kama umeharibu zaidi.?
na ndio maana wao waliandika barua ya kumsimamisha..
sasa wewe ndo umekuja kuanika huku tena unataja hadi sehemu husika punguzeni jazba kulalamika tu kila kitu sasa unafikiri hapa utasaidiwa chochote?
Asnte sana kweli nimejiona mm ndiye niliyekosea sasa.riro23 yuko sahihi, Nafikiri wewe ndiye huna akili kwa sababu umeingilia kati mada pasipo kujua kiini cha tatizo.
Huyo mwenzio unayemtetea aliomba kazi kama mwl wa kiswahili na general studies Lakini cheti chake kinaonyesha ana umahiri/ubobevu katika somo moja tu la kiswahili.
Tukija kwenye utetezi wake anajitetea kwamba amesoma General studies(GS)chuo kikuu kama development studies(Ds). Kimsingi utetezi huu ni dhaifu kwa sababu DS alisoma kama kozi tu ya kumwezesha kupata "partial knowledge" lakini hana ubobezi(deep knowledge) au"umahiri" katika somo hilo.
Ingekuwa ni kiingereza tungesema haja "specialize" katika somo la GS hivyo hana "qualifications"za kumwezesha kufundisha somo la GS. Yani hapo ni sawa na mtu kulazimisha kuwa "traffic police" eti kwa sababu alisoma topic ya "Road accident" na "road traffic signs" kwenye somo la civics akiwa kidato cha kwanza.
Mtu wa political science ndiyo mtu sahihi kufundisha GS au Civics. Mashule mengi yanapata changamoto kufundisha civics sababu mtu ana-take easy kwamba O-level nimesoma civics the GS A-level then DS chuo, hiyo haitoshi hasa kwa utitiri was vitabu vilivyoandikwa na watu (wengi) ambao hawaelewi hata structure ya local government ni shida.Kwahy mtu aliyesoma political science ni mwalimu tangu lini?
Kabisa mkuu mimi pia nimesoma political scienceMtu wa political science ndiyo mtu sahihi kufundisha GS au Civics. Mashule mengi yanapata changamoto kufundisha civics sababu mtu ana-take easy kwamba O-level nimesoma civics the GS A-level then DS chuo, hiyo haitoshi hasa kwa utitiri was vitabu vilivyoandikwa na watu (wengi) ambao hawaelewi hata structure ya local government ni shida.
Huu ujinga nimeusikia pia huko MwanzaSasa ndo wamemstishia Ajira kapewa barua wanasema barua imetoka TAMISEMI eti
Ongezea nyama kidogo mkuuHuu ujinga nimeusikia pia huko Mwanza