TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

Acha roho mbaya, huo unaofanya ni zaidi ya ushetani, akipata ajira wewe unaumia nini? na kwa nini umfuatilie mtu mmoja tu?
Nafuatilia haki na usawa kwenye ajira,sifuatilii mtu. Huu ni uchunguzi wa kubaini madudu naufanya jina kwa jina, page kwa page kwahiyo Kama na wewe ni miongoni mwa waliopata ajira kimagumashi jiandae zamu yako ikifika nitakuweka hadharani.
 
Unahangaika bure ndugu yangu, kwa ni hujui kama mfumo wote wa serikali ya awamu ya tano ume corruption ?

Angalia manunuzi ya wanasiasa,angalia chaguzi zilizopita,angalia hao manawaita wabunge wa covid 19 na mengi mengine utagundua tu kwamba...safari hii imekula kwetu.
 
Nafuatilia haki na usawa kwenye ajira,sifuatilii mtu. Huu ni uchunguzi wa kubaini madudu naufanya jina kwa jina, page kwa page kwahiyo Kama na wewe ni miongoni mwa waliopata ajira kimagumashi jiandae zamu yako ikifika nitakuweka hadharani.
Safi mkuu. Kazi nzuri
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya filahuni - kuna zro za kutosh kwny hayo majina , wawz kuchek ukurasa wa pil au 1 namba hizi(S0897-0028/2012,S2166-0021/2012)
 
Wahusikaa watakua wameshafikiwa na hizi taarifa.....lakini wew mkuu hebu tuambie ulianza vp kuling'amua hili Jambo??? Au Kati ya hao wawili mmoja ni mtu mnae fahamiana nae!!?? Au ww ni mfanyakazi Tamisemi!!??


Yote kwa yote mkuu una chembechembe za wivu kwa msela.....!!

Nafanya kazi ya kizalendo ya kuchunguza na kubaini madudu kisha kuyaweka hadharani. Kutafsiri kuwa ni wivu hiyo ni juu yako kulingana na mtazamo wako.
 
Wanatengeneza matukio ya kuanzia kwa muendelezo wa awamu. Tumbua tumbua kwa matukio ya kutengeneza wenyewe maana watu makini hawawezi kufanya uzembe wa wazi namna hii
 
mkuu naona unamchome mtu utambi hapo.
alitembea na mkeo nini?
Sina malengo ya kumharibia mtu isitoshe simjui hata kwa sura. Nia na dhamira yangu ni kuibua na kuonyesha mapungufu ili yafanyiwe kazi na ikibidi hatua zichukuliwe kwa wale wote walio husika kwa namna moja ama nyingine kusababisha mapungufu hayo maana ni uzembe kwa wizara kubwa kama Tamisemi kutoa majina bila kuyahakiki.
 
TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano

Ila ndio hana kuja kukufundishia mwanao shuleni pale kilakala
 
Naona imetangazwa uhakiki ufanyike kwa muda wa siku 3. Wakurugenzi kuhusishwa katika uhakiki.
 
Back
Top Bottom