Tambiko Ofisini. Tutafika kweli??

Tambiko Ofisini. Tutafika kweli??



haha dada hawa wanaokuita mwalimu hawajakosea huwa unakuwa na reasonable questions ambazo zinamfanya mleta thread awe katika ile awkward moment ndani ya dakika 5



we shabiki mzuri sana
 
uchawi upo-ila usipo uamini haukupi shida-wacche wasumbuke wewe piga kazi
 
kama huamini unarudije nyuma?wewe weka cha ng'ombe,jino kwa jino
 
si ushasema huamini mambo ya kishirikina? Sasa kinachokufanya useme unarudishwa nyuma ni nini?
 
asikutishe mimi ningemla huyo kuku kabisa! Na ningefurahi kupata kitoweo daily na biashara inaendelea

umeonaeee!
Unakuta huyo aloweka
huyo kuku hajala kitoweo hicho
miaka nenda rudi!
Sasa limeweka mkangoni kwa mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom