Tamasha la CDM-Makumira University

aksante dr slaa.mungu akujalie wewe na mama yetu afya tele.tuna imani na wewe na uongozi wa chama chetu kwa ujumla.kweleakwelea nina mchango wa laki mbili kwa ajili ya radio na tv.
 

Dr. Slaa,

Katika suala hili la kuwa na TV na Redio tunaomba sana msituangushe Watanzania.
 
Tunasikiliza mkuu na tumejiunga rasmi kwenye mkutano kupitia kwako
 
Kwanza nafurahi kuckia dr yupo online,.napenda kumpongeza dr n cdm kwa ujumla kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza kutoa mbunge kwa mkoa wa Sgd,juhud ziongezwe wote kwa pamoja ili sgd iwe kama Moshi,.pia hii mikoa dom,tanga n tanga,itazamwe kwa jicho la tatu,.tuongeze nguvu..mwisho radio n tv muhimu,.getwell soon dr n mama..nawakilisha mzee wa dung'unyi
 
Asante sana PKJ kwa kutumia muda wako kutuhabarisha,

Huu moto ulioanzishwa na Chadema naona ni mwendelezo wa Operation Sangara lakini safari hii umeanzia vyuoni then watahamia vijijini, juzi CDM walikuwa UDOM jana alikusanya vyuo vyote vya Dar pale Mabibo Hostel leo wako Makumira nafikiri next itakuwa SAUT, Tumaini-Mkwawa nk.

Hogereni sana Chadema i think it is a good strategy, kwanza unateka mawazo ya vijana wasomi ambao ndio watakaokuwa mtaji wa kufikisha ujumbe vijijini big up.
 
PJ tunashukuru sana kwa taarifa mkuu.
Nyongeza:
CDM speed ni nzuri sana ila tunaomba wafanye kazi kwa utaalamu na mshikamano zaidi ili tufike mwaka 2015 bila majeruhi.
Viongozi lazima mcheze na population structure in terms of age of tanzanians.....Angalieni ni wananchi wangapi watakua wanaingia umri wa kupiga kura ifikapo mwaka 2015 na je ni wangapi wanaondoka kwenye hilo kapu...then hapo sasa kwenye kuimarisha chama ndo mtajua mcheze na rika lipi.

Lazima kuwepo kitengo katika chama cha kucheza na takwimu za nchi pamoja na kutumia hizo takwimu kufikia malengo.
PAMOJA SANA ....PEOPLES POWER.
 
Asante sana mkuu, maana hii ni live unatuletea, kweli CDM waanzishe TV, uwezo huo upo na itapata sana pesa maana itakuwa na watu wengi sana na hivo kutumika kwa matangazo ya biashara, n kuwa na vipindi vingi vya elimu ya uraia na kutangaza chama

kuanzisha TV ni kazi kubwa sana na matayarisho na muda mwing unatakiwa pia ni ghali, kwa sasa ningeshauri watukamie You tube na vitu kama hivyo nagalau itasaidia wakifanya mikakati ya TV, kuwa na ni cheaper a account ni xtremly cheaper
 

Panoja sana nakubaliana na wewe
 
kuanzisha TV ni kazi kubwa sana na matayarisho na muda mwing unatakiwa pia ni ghali, kwa sasa ningeshauri watukamie You tube na vitu kama hivyo nagalau itasaidia wakifanya mikakati ya TV, kuwa na ni cheaper a account ni xtremly cheaper

tupo ktk mfumo wa digital sasa, lengo ni kuwafikia wananchi wengi. ni wangapi wana internet access tz??
 
kuanzisha TV ni kazi kubwa sana na matayarisho na muda mwing unatakiwa pia ni ghali, kwa sasa ningeshauri watukamie You tube na vitu kama hivyo nagalau itasaidia wakifanya mikakati ya TV, kuwa na ni cheaper a account ni xtremly cheaper

Hakuna kazi wala gharama kama wananchi wameamua....wataalam wa mambo hayo wamo humu wa kutosha tu, cha muhimu ni kupanga mikakati vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…