wANAuliza concern ya cdm juu ya katiba...wanasema kama kifungu cha 37 cha katiba kinamruhusu rais kukataa mapendekezo ya kamati ya katiba...msimamo wa cdm nini juu ya hilo?..wanayo altenative ya kuibuka na utatuzi wa hilo?
There are currently 90 users browsing this thread. (36 members and 54 guests)
Wakuu..muulizeni huyu (ONLINE)mkuu kiongozi wetu juuYA KUANZISHA TV/REDIO YA CDM
Dr. W Slaa...kuna shida gani kuanzisha kituo cha TV au Redio inayomilikiwa na chama?...Tunaomba jibu lako!
Selous,
Asante. Nakushukuru kwa changamoto na hasa kwa kuanzisha mchango kwa lengo hilo. Kesho kuna kikao muhimu. Nitawasilisha wazo hili ambalo sasa limekuwa kilio cha wengi, ikiwa ni pamoja na Chadema kuwa na akaunti ya YOUTUBE. Nitawajulisha wapenzi wetu maamuzi ya kikao hicho ambayo iwa[po yatakubalika yatapaswa kupitishwa na Vikao vya maamuzi ambavyo navyo vinatarajiwa kukaa siku chache zijazo. Nakushukuru tena, na ninatoa mwito kwa wale wote ambao wangelipenda TV na Radio ya Chadema waendelee kutoa mawazo yao. Ukombozi uko kwenye kona na utalertwa na wenye moyo. Kuchangia jambo jema halihitaji utajiri wa mali bali zaidi wa moyo na uchungu kwa Taifa letu linaloangamizwa kwa spidi na kasi ya ajabu na mafisadi. Natanguliza shukrani za dhati kwa wanahadema na wapenzi wetu kwa ushauri wa mara kwa mara. Tunazingatia yote

Wamejiandaa sana..hatakosa mtu kiongozi!
soma btn post namba 1 mpaka 134 utapata yote yaliyozungumziwaPj gudii xana! Ndo 2natakiwa kuwa iv cku zote. Vp tujuze mambo makubwa yaliyozungumziwa!
Nami na Mwenzangu SaharaVoice ndio tunaelekea kunako mausafiri ili turudi Mjini Arusha kuendelea na wikiendi...Ha hahaaa!
Dr. W Slaa...kuna shida gani kuanzisha kituo cha TV au Redio inayomilikiwa na chama?...Tunaomba jibu lako!
jaribu kuulizia ulizia kama kuna mwenye ile cd ya arusha uweze kuturisha online....., Nimeshaona bila jitihada zetu wenyewe hii cd haitapatikana