Tamaa ya Ngono, Adui Mkubwa wa Mwanadamu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA

Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama Samson,

Ujinga wa tamaa uliofichwa katikati ya mapaja
Unaweza kukufanya ulie na kuomboleza kama DAUDI.

NA : Creezle Farey
 
Sex is overrated
Kwanini isiwe tu kitu simple tunapeana ..kila mtu anaondoka zake ...no strings attached ,wote mnaondoka wepesi..🤣

Because for some like us we have graduated higher levels to know ,love is something very artificial (fictiticious) ,does not exist

Tchao !!
 
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA

Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama Samson,

Ujinga wa tamaa uliofichwa katikati ya mapaja
Unaweza kukufanya ulie na kuomboleza kama DAUDI.

NA : Creezle Farey
Ushaukwaa unakuja kutupa risala sio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom