CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mmeziamshaje nafsi zenu wanajamvi......
Dada A na Dada B walikuwa marafiki waliopendana na kuaminiana sana. Walikuwa walitoka out mara kwa mara wakiwa pamoja yaan Dada A, Dada B na mchumba wa Dada A.. (Tumuite Mr. X).
Siku moja Dada A alikuwa hajisikii vizuri kutoka out, hivyo akamuomba Dada B atoke na mchumbaake out... yaan shemejiye. Dada B alikubali kumpa kampani shemejiye wakatoka out. Walipofika walipopachagua wakaagiza vinywaji huku wakipiga story za hapa na pale kama mtu na shemejiye...
Kama mjuavyo Pombe si chai .... wakaanza kulewa, mapozi hakaharibika na heshima kupungua ikawa "shemeji shemeji mbona wazima taa"... Mara tamaa zikawaka... ooohooooo kila mmoja akaanza kumtamani mwenzie.. Ikabidi watafute mahali pa kwenda kuzipunguza tamaa zao.... Walipomaliza wakarudi majumbani mwao, wakihaidiana kuitunza ile siri ili Dada A asijue....
Siku zikakatika mara wiki mara mwezi.. Mmmmh Dada B akastuka mbona hayapati mambo yetu yaleeeeee..... Mweee!!!! kumbe tayari keshapata ujauzito bila kutarajia. Basi akaamua kumjulisha Mr. X... "Shemeji mpenzi eeh mwenzio tayari hivooo" Mr. X alichanganyikiwa make mwisho wa siri itakuja kujulikana. Akamshauri wachomoe ila Dada B alikataa katakata.
Basi kitumbo hikoo kikaanza kuonekana, Dada A akamuuliza shogaye "kitumbo cha nani hiko??" Shoga mdomo .... mzito ooohh ntakwambia tuu... oooh si yule shemeji yako wa siku zote!!! Mara miezi ikakatika hatimaye Dada B akajifungua. Ndiposa Sister ake Dada B akamjia juu Dada B kwa.ukali ili amtaje baba wa mtoto kwani aligoma kumtaja wakati woooote wa ujauzito.
Hatimaye Dada B akafunguka... Baba wa mtoto huyu ni Mr. X mchumbaake na shogaangu Dada A. Sister alishangaa sana kusikia maneno yale. Kimbembe sasa NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE?????? Wataanzaje kumjulisha Dada A???????
Mwisho wa siku Sister ake Dada B akafunga kibwebwe mpaka kwa Dada A..... "Mdogo wangu Dada A.mguu huu wako" Je una kifua????? Dada A haelewi... Kulikoni?????? Sister kuna nini kwani ???? Sister kwa unyonge akaanza kufunguka.... "Mdogo wangu Dada A, samahani kwa hili ninalotaka kukueleza..... Nasikitika kukujulisha kuwa baba wa mtoto wa shogaako Dada B ni mchumbaako....
Dada A aliangua kilio kikuu.... Sister alimbembeleza hatimaye akanyamaza. Dada A akaanza kufunguka sasa.... Sister, siumii kwa kuwa mchumbaangu kanisaliti.. La hasha. Kinachoniliza na kuniumiza ni hiki... Kwanini mchumbaangu kaamua kuwa muuaji kiasi hiki????? Kaamua kumuua shogaangu na kiumbe kisicho na hatia..... Mmmmhh Sister kaanza.kutahamaki kama haelewi......
Dada A akaendelea kufunguka, Mimi na mchumbaangu Mr. X tunaishi kwa matumaini ( Tuna HIV) Sister alisikitika saaaana na kuondoka akiwa na simanzi.... Dada B aliendelea kumlea.mwanaye kwa shida kwani alikuwa anaugua.mara.kwa mara na kwa bahati.mbaya mtoto yule alifariki dunia kwani alikuwa ana maambukizi ya HIV. Muda si.mrefu.na Dada B naye alifariki Dunia. Kwa kuwa Mr. X na Dada A walikuwa wameshaanza kutumia dawa, waliendelea kuishi kwa.miaka kadhaa lakini baadae nao pia walifariki Dunia......
Wapendwa hii simulizi ni funzo kubwa kwetu sote.... Kuna watu katika jamii yetu ni mabingwa.wa kufakamia mahusiano ya marafiki zao bila kujua ni nini kinaendelea katika mahusiano hayo....
*******IT BEGINS WITH YOU*******