Tamaa mbele Mauti nyuma.... Funzo kwetu sote!!!

Tamaa mbele Mauti nyuma.... Funzo kwetu sote!!!

Unapomkabidhi chui akulindie mbuzi wako unataraji nini kwa maana hakuna urafiki wa kweli chini ya mbingu wala mapenzi ya kweli; tena imeandikwa aombaye atapewa! Ujanja kulinda mzigo wako ukigeuza mgongo wenzako wanapiga.

Swadakta mkuu.... hapo umenena!!!
 
Ingawa wengine wanasema a stolen fruit is the sweetest lkn mimi nazingatia usemi usemao "cha mtu mavi".
 
Kuna kamsemo, Mke wa mtu sumu, Mme wa mtu maziwa ila bottom line tamaa mbele Mauti nyuma..Some games you play Some game plays you.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna dada kafunga ndoa mwishoni mwa mwaka jana.
Yeye na mume wake ni waathirika,hata walivo zijua hali zao
hawakuacha kuoana.

Sasa wale wanaosema mke/mme wa mtu asali wakaonje tu waone.
 
mambo mengine ni ya kujitakia.huwezi kumwambia rafiki yako aongozane na mpenzi wako.mambo ya mitoko,pombe ikikolea akili zinakuwa sizo,na mkinogewa mchezo mnauendeleza.ila ni funzo hilo,hili gonjwa linateketeza jamani

Hahahaaaa... Eti ni shogaangu namuamini sana!!!!
 
My cousin ambaye alikuwa best friend wa Dada A.....

hivi unamuachiaje rafikiyo nafasi ya kutoka na mchumba ako?wadada tujifunzeni kwa hili,kikulacho siku zote ki nguoni,mi rafiki yangu ni wangu,mazo na mwandani wangu marufuku!
 
hivi unamuachiaje rafikiyo nafasi ya kutoka na mchumba ako?wadada tujifunzeni kwa hili,kikulacho siku zote ki nguoni,mi rafiki yangu ni wangu,mazo na mwandani wangu marufuku!

Huku kuwaamini marafiki ati hawezi kukusaliti ndo kunako tuponza.... Issue nyingine ni kumueleza yooote ya chumbani shogaako!!!!
 
Huku kuwaamini marafiki ati hawezi kukusaliti ndo kunako tuponza.... Issue nyingine ni kumueleza yooote ya chumbani shogaako!!!!

umeona eee!shoga ako mambo yako na mumeo ya nn,vingine twajitakia wenyewe jamani!
 
umeona eee!shoga ako mambo yako na mumeo ya nn,vingine twajitakia wenyewe jamani!

Kila ufanyiwalo chumbani shogaako analifahamu.... Sasa unategemea nini????? Naye atataka afanyiwe vivyo hivyo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom