wake wa maaskari....wake wa walimu..wa primary

no comments
Kwa kweli ajidhaniaye amesimama na aangalie asianguke.Eeeh! Mungu inusuru ndoa yangu. Sijui pesa ninayomwachia mke wangu inatosha!!!!.

Eeeh! Mungu inusuru ndoa yangu. Sijui pesa ninayomwachia mke wangu inatosha!!!!.
HAROOO NITAKUARESTI WEWEEEE..WHACHA ILO LIMANENO LAKO POTI!Watoto wetu hawaendi shule eehh na sisi hatuendi shue eehh.Ndio maana hata JK ajawahi kuteua polisi na magereze kuwa MaDC na MaRC? oooooh sasa nauelea poti..Kesho naanza smasomo ya jionikazi ya askari ni kuhudumia nyumba ndogo lakini familia inaadhirika, ndio maana watoto wengi wa askari hawaendi shule kwa ajili hawajali
Kuna kituko kimetokea hapa Moshi mitaa ya double road jion hii, askari amemfumania mkewe akiwa na katoto kao kachanga 6 mnths, wakifanya ngono na dereva tax bubu ndani ya gari....! Mwanamke anamuwakia mumewe anamwambia yeye ndie chanzo manake haitunzi familia na hawezi ona wanae wakifa njaa so anaongeza kipato na mume anamlaani mkewe kuwa haridhiki eti elf 5 kila cku haitoshi au anataka ampe mshahara wote, mke anadai elf 5 ni per week na ako na family ya watu 8? Huyu dada anaongea kwa kujiamini mpaka nashangaa...ila nimebaki na maswali kichwani, NI KOSA LA NANI HAPO MUME? MKE? Au......!
umuaresti nani wewe? jiaresti mwenyewe kisaikolojia. unalinda mamilioni benki na wewe unalala njaa. unajisumbua ukiwapiga raia virungu kwa ajili wanaandama kukutetea uwe na maisha bora huku mkeo anafanyiwa injustice kwenye teksi. koma maana ukisema hivyo tena mbele yangu nitakuzaba makofi halafu mniulie huko jelaHAROOO NITAKUARESTI WEWEEEE..WHACHA ILO LIMANENO LAKO POTI!Watoto wetu hawaendi shule eehh na sisi hatuendi shue eehh.Ndio maana hata JK ajawahi kuteua polisi na magereze kuwa MaDC na MaRC? oooooh sasa nauelea poti..Kesho naanza smasomo ya jioni
Ni kweli lakini mmh....hiyo ni ya kujitakiaWonderes shall nvr end under the sun...
Kosa la mke,hawezi kuuza utu wake kwa pesa bwana.

maswali ni magumu na majibu yake siyo mepesi............................hatujui yupi analonga ukweli........ingawaje shs 5, 000/= kwa wiki kwa familia ya watu 8 ni kazi kwelikweli....................................ila kama ni 5,000/= kwa siku watabangaiza vivyo hivyo...........