Nakushauri uwaripoti tcra. Watanyooshwa! Mimi pia ni mteja wao.Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.
Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000
Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.
Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
Tangu lini wamesitisha?ukilipa deni lao kwa sasa hupati tena mkopo kwa hiyo jipange
Haina haja ya kuchukua hatua umetulipia wadaiwa suguNilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.
Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000
Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.
Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
Alifanya hivyo 2017 hivi huwa mnaangalia tarehe ya Uzi ulipoanzishwa?ukilipa deni lao kwa sasa hupati tena mkopo kwa hiyo jipange
HaahahhaahahahHaina haja ya kuchukua hatua umetulipia wadaiwa sugu
hii ya kizwezwe imetoka jikoni ni LIVEAlifanya hivyo 2017 hivi huwa mnaangalia tarehe ya Uzi ulipoanzishwa?
hii ya kizwezwe imetoka jikoni ni LIVE
anaongelea mambo ya sasa na si zamani, cc tunaokopa ndio tunajua lugha zetu gongana
km ugomvi na Vodacom, TCRA, na faini ya zaidi ya B 6 kwa maBOSS wetu
hii mitandao imeshatuliza sana hatukomi km D9, ONTARIO nk
waache jamaa watujulishe nasi tupoze, kwani vitisho sasa duuh
Ila Uzi huu umeanzishwa 2017 ndicho nilichoshangaahii ya kizwezwe imetoka jikoni ni LIVE
anaongelea mambo ya sasa na si zamani, cc tunaokopa ndio tunajua lugha zetu gongana
km ugomvi na Vodacom, TCRA, na faini ya zaidi ya B 6 kwa maBOSS wetu
hii mitandao imeshatuliza sana hatukomi km D9, ONTARIO nk
waache jamaa watujulishe nasi tupoze, kwani vitisho sasa duuh
TALA, BRANCH ni wakenya hawana ofisi hapa na kama ipo basi ni magumashi tu, wanapigwa sana, hao TALA mmi nilifika kukopa 2k, baada ya hapo oh huna vigezo vya kupata tena mkopo, km si utapeli ni nini?OFISI za TALA, zipo sehemu gani? namba yao ya customer service iwekeni wazi ili kama kuna watu wanaweza kuwafatilia wawafatilie mapema
Ni kweli na mm nilianza kukopa 2018 nilifika 240,000/ wakanirudisha chini nianze tena 120,000/ badala niingie 300,000, lkn RIBA wamekula zaidi ya 200,000/Ila Uzi huu umeanzishwa 2017 ndicho nilichoshangaa
Ni kweli na mm nilianza kukopa 2018 nilifika 240,000/ wakanirudisha chini nianze tena 120,000/ badala niingie 300,000, lkn RIBA wamekula zaidi ya 200,000/
ni vizuri tuwe tunashituana hawa jirani ni wakali sana, hasa kwenye ile D9 nilpoteza 4,900,000/ kwa waTZ wenzangu na vikao eti vanafanyikia Kampala
sasa TALA sijui wapo wapi hapo DAR niwaombe udhuru nimefilisika