Takwimu za ushirikina Tanzania

Ndiyo maana ilipendekezwa Thame na Mwanga zipelekwe mkoa mpya wa Koogwe (Proposed one).
 
Hizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu

Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...

A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza

B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida

C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani

D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi

E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)

Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
Data zako hazijakamilika kama haziwezi kuwa na wasafwa, wafipa, na wanyantuzu wa gamboshi!
 
Ndo maana nchi hii pamoja na rasilimali lukuki maendeleo ni mwendo wa kobe, kumbe imejengwa kwenye misingi ya mazindiko ya nguvu za giza.......ee Mwenyezi Mungu tuondolee hii laana iliyowekwa na watangulizi waloweka misingi ya taifa hili, Amen..

Room mate wangu UDSM miaka ya themanini alikuwa na bishara ya kuku huko bagamoyo. Mfanyakazi wake aliyekuwa anatunza wale kuku alikuwa anawatapeli sana wanasiasa wakati wa uchaguzi. Kwa mfano ule uchaguzi wa 1985, kuna waziri mmoja aliyekwenda kumtembelea ili azindikwe. Yule mfanyakazi tapeli akawa anachoma majani ya hovyohovyo kutoa moshi mzito ndani ya banda lake akiwa mwenyewe amejipaka majivu uso wote. Akamfukizia moshi huo waziri yule na kumwosha usoa wake kwa maji ya baharini eti kuondoa nuksi; ilipofika wakati wa uchaguzi waziri huyo akashindwa vibaya sana na kupoteza uwaziri.
 
umenena kweli huko Singida karibu kila mtu ni mchawi si mwanamke/mwanaume pia kwa suala la customers Kilimanjaro ipe no 1 maana si kwa kuchangamkia dili hilo
 
Mshana Jr Jana nimesoma post moja humu ya opereshen ugaid mkulanga.kuna sehemu WANASEMA walipewa mganga kwenye Ile misheni... Jamaa anasema kwa Mara ya kwanza alishindwa kuamini kuona mganga aligoma kupanda gari yao na akawaambia eti wao watangulie ataeakuta mbele Cha ajabu.mganga aliwah kufika kabla ya WENYE gari... Na wenyeji wakasema alikuwepo pale tangu asubuhi
 
Mshana Jr Jana nimesoma post moja humu ya opereshen ugaid mkulanga.kuna sehemu WANASEMA walipewa mganga kwenye Ile misheni... Jamaa anasema kwa Mara ya kwanza alishindwa kuamini kuona mganga aligoma kupanda gari yao na akawaambia eti wao watangulie ataeakuta mbele Cha ajabu.mganga aliwah kufika kabla ya WENYE gari... Na wenyeji wakasema alikuwepo pale tangu asubuhi
Zipo sana hizi huko vijijini mnakutana na mzee barabarani mkiwa na gari anawaomba lift mnampita mkifika muendako mnamkuta ama kila mara gari inapata hitilafu na anawapita
 
Back
Top Bottom