Takwimu za ushirikina Tanzania

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Hizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu

Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...

A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza

B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida

C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani

D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi

E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)

Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
 
Kukimbiza moto gan
 
Bila Simiyu-Gamboshii umetundanganya mzee wanguu

Weka na manyara hapo
Wafanyakaz was serekali CYO wachawi
Nimetamatisha kwa kuandika
Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
 
Hizi ni takwimu rasmi za vilinge sio zile habari za mitaani lakini ukicheki nimeishia no 7 ina maana kuna wengine wamo wanafuatia
Siwezi kubishia takwimu rasimu za kilinge ila niliwahi kufanya kazi ya kufutilia mambo haya tukiwa na watu flani kutoka nje na moja ya sehemu tulizopata data ni pale Bujora kwa eneo la sukumaland mwanza haikuwa na magwiji ukiondoa sehemu ya nasa enzi hizo ilihesabika iko mwanza ambako ukoo maarufu ulioogopwa ulikuwa wa Samike na sijui uhusiano wa hiyo familia na yule alikuwa Ikulu ,ila kama ulivyosema pengine data sahihi wanajua zaidi watu wanao practice
 
Oooh,ndio nimeelewa sasa...,.....
JamiiForums886812694.jpg
 
Hizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu

Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...

A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza

B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida

C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani

D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi

E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)

Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
Namba 1 A. Ningeshangaa sana kam usingeuweka namba hiyo
 
Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)

Hapa fafanua Kwa kirefu mkuu,sijakuelewa
 
Back
Top Bottom