Takwimu za ushirikina Tanzania

Wateja wakubwa wa waganga.
Polisi, michepuko na watu wenye kesi mahakamani)
(Haya makundi ndio yanaongoza)
 
Wamama wa nyumbani wanaloga nini sasa?? Kazi zao si kupika na kudeki na kufagia uwanja??
Ili mume asihangaike na wanawake wengine na pesa zote azi manage yeye.
Ukioa mrangi, mmakonde au mnyamwezi utanielewa.
 
Back
Top Bottom