Utafiti juu ya ushirikina na imani potofu Tanzania

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Mikoa inayoongoza hapa Tanzania kwa Ushirikina (ulozi) ni
1. Rukwa (sumbawanga),
2. Kigoma (kasulu, kazuramimba, kakonko, ujiji, benako),
3. Tanga (Handeni-kwamsisi, lushoto, Muheza, kilindi, Tanga mjini),
4. Pwani (Bagamoyo , Rufiji,kisiju, Kibiti, Bungu, Mkuranga, Nyamisati).
5. Kanda ya ziwa (Shinyanga,Mwanza, geita)
6. Kanda ya kati Singida.
7. Njombe (Kwa wakinga na wapangwa).

USHIRIKINA UNARUDISHA MYUMA MAENDELEO NA UDUMAZA AKILI WAKIDHANI UNAWASAIDIA BADALA YA KUFANYA KAZI NA KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASKINI

20230731_220445.jpg
 
Ni upumbavu kuendekeza uchawi na ushirikina
Hata iweje siwezi kuamini ujinga huu, nimelelewa kwenye familia isiyoaendekeza haya mambo na ukitushauri unakula makofi

Fanyeni kazi na muwe na malengo ya mda mrefu
Kama unataka kufanya kitu kukubwa hakikisha unajilimbikizia kwa mda wa miaka kadhaa na siku zikitimia Anza kazi

Ila watasema uchawi we piga kazi tu hata kama utanunua malori matatu kwa mkupuo au ukifungua duka kubwa
Maneno yao waachie wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom