Tanzania ni ya pili kwa ushirikina baada ya cameroon

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,409
15,994
Nimepokea ripoti kutoka kwa naibu mkurugenzi mkuu wa radio safina fm mam Hellen lema kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kwa ushirikina duniani baada ya Cameroon kuongoza kwa kushika nambari moja dunia Kisha Tanzania ikafata kwa ushirikina .

Aliendelea kwa kusema kuwa mikoa inayo ongoza kwa ushirikina na vitendo vya uchawi Ni Kama ifuatavyo
1. Shinyanga
2. Rukwa
3.Mtwara
4.Tabora
5.Tanga
6.katavi
7.songwe
8.Mbeya
9.dodoma
10 .mwanza

Awali mm binafsi nilikuwa naamini kuwa Nigeria ndio kinara wa uchawi na ushirikina ikifatwa na Kongo . Cameroon ,Ghana ,Lkn ajabu Cameron ndio kinara na Tanzania tunashika nafsi ya pili kwa ushirikina duniani ..je Kuna ukweli kwamba hili taifa vitendo vya ulozi Ni vingi Kia's hiki ?

Kama mkoaa wako haujatajwa hapa hongera San na Kama mkoa wako umetajwa kwa tafiti hizi pole sna na pamban na maombi sna .

Namuomba mlozi mwandamiz mstaafu bwana Mshana Jr kudhibitisha hoja hii Kam Ni kweli ...
 
Kama Kigoma haipo taarifa hii naikataa!

Mikoa inayoongoza hapa Tz kwa Ushirikina (ulozi) ni Rukwa (sumbawanga), Kigoma (kasulu, kazuramimba, kakonko, ujiji, benako), Tanga (Handeni-kwamsisi, lushoto, Muheza, kilindi, Tanga mjini), Pwani (Bagamoyo , Rufiji,kisiju, Kibiti,Bungu, Mkuranga, Nyamisati). Kanda ya ziwa (Shinyanga,Mwanza, geita) Kanda ya kati Singida.Njombe(Kwa wakinga na wapangwa).

Kwanza Tanzania na Kongo (DRC) ,Kongo inaongoza, alafu uniambie eti Tanzania ni ya pili kuliko hata Nigeria?!

Hi ripoti ni ya kujifurahisha tu!

Tuwe serious basi!
 
Kitabu cha Waislamu Quran kinatumika sana kwenye ushirikina. Dini ya kuogofya cult of death.

Covax
Mangi umekuwa consumed sana na siasa za ukabila,ukanda na udini za kina Lissu,Mbowe na CDM.......
Punguza chuki zitakuumiza kiakili. Dini zilikuwepo kabla yako na zitaendelea kuwepo. Furahia maisha.

Kwa list hii kama angekuwa Marehemu Mwendazake ungewasema vibaya Wasukuma

1.Shinyanga
2. Rukwa.
3.Mtwara.
4.Tabora.
5.Tanga.
6.kata I

Kusemaje wewe unafatilia sana haya mambo sio
 
Kama kwenye list zenu Simiyu haipo nyie hizo data ni cooked au za mchongo.

Kumbukeni makao makuu ya Uchawi ni Gambosi na yapo Simiyu.

Kumbukeni wilaya ndogo ya Itilima Ina Waganga 7,000 walio sajiriwa na Serikari, Sasa jiulize WACHAWI wangapi?

N.B Kisiju hakuna Uchawi Ile ni michezo tu
 
Nimepokea ripoti kutoka kwa naibu mkurugenzi mkuu wa radio safina fm mam Hellen lema kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kwa ushirikina duniani baada ya Cameroon kuongoza kwa kushika nambari moja dunia Kisha Tanzania ikafata kwa ushirikina .

Aliendelea kwa kusema kuwa mikoa inayo ongoza kwa ushirikina na vitendo vya uchawi Ni Kama ifuatavyo
1. Shinyanga
2. Rukwa
3.Mtwara
4.Tabora
5.Tanga
6.katavi
7.songwe
8.Mbeya
9.dodoma
10 .mwanza

Awali mm binafsi nilikuwa naamini kuwa Nigeria ndio kinara wa uchawi na ushirikina ikifatwa na Kongo . Cameroon ,Ghana ,Lkn ajabu Cameron ndio kinara na Tanzania tunashika nafsi ya pili kwa ushirikina duniani ..je Kuna ukweli kwamba hili taifa vitendo vya ulozi Ni vingi Kia's hiki ?

Kama mkoaa wako haujatajwa hapa hongera San na Kama mkoa wako umetajwa kwa tafiti hizi pole sna na pamban na maombi sna .

Namuomba mlozi mwandamiz mstaafu bwana Mshana Jr kudhibitisha hoja hii Kam Ni kweli ...
Unaijua nchi inaitwa Benin?..
 
Hii taarifa kama imetoka Kwa Hawa Wahubiri wa kisasa ,itakuwa na ukweli asilimia 80!
 
Kwamba Kigoma haipo top ten😄😄😄
 
Tumepanda viwango.. Nimethibitisha hili ni kweli Dr.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kwenye list zenu Simiyu haipo nyie hizo data ni cooked au za mchongo.

Kumbukeni makao makuu ya Uchawi ni Gambosi na yapo Simiyu.

Kumbukeni wilaya ndogo ya Itilima Ina Waganga 7,000 walio sajiriwa na Serikari, Sasa jiulize WACHAWI wangapi?

N.B Kisiju hakuna Uchawi Ile ni michezo tu
Na wauaji wengi wa kukodishwa na vikongwe wanatokea Simiyu
 
Mangi umekuwa consumed sana na siasa za ukabila,ukanda na udini za kina Lissu,Mbowe na CDM.......
Punguza chuki zitakuumiza kiakili. Dini zilikuwepo kabla yako na zitaendelea kuwepo. Furahia maisha.

Kwa list hii kama angekuwa Marehemu Mwendazake ungewasema vibaya Wasukuma

1.Shinyanga
2. Rukwa.
3.Mtwara.
4.Tabora.
5.Tanga.
6.kata I
7.songwe
8.Mbeya
9.dodoma
10 .mwanza
Wewe subiri tu. Nakuvizia na Alteza yangu ukiwa kwenye bajaj
 
Kitabu cha Waislamu Quran kinatumika sana kwenye ushirikina. Dini ya kuogofya cult of death.

Covax
104

1ur'an2:
105.
Walio kufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe kheri yoyote kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na Mwenyezi Mungu humkusudia kumpa rehema yake ampendaye. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye fadhila kubwa. 105
 
Back
Top Bottom