elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Number yako tafadhaliTanga
Number yako tafadhaliTanga
Na bado hatuna maji na umeme vijijini WANAFELI WAPI na hiyo ELIMUZipo sana hizi huko vijijini mnakutana na mzee barabarani mkiwa na gari anawaomba lift mnampita mkifika muendako mnamkuta ama kila mara gari inapata hitilafu na anawapita
OkTakutumia PM
Hivi Europe pia kuna uchawi?Oooh,ndio nimeelewa sasa...,.....View attachment 1885094
Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)
Hapa fafanua Kwa kirefu mkuu,sijakuelewa
😂😂😂😂😂😂😂Hadi Nigeria tumewazidi?
Kweli maskini lake tunguri
Sasa undani wake naujuaje mkuu?.Kuna la Mtwara na kuna la ziwa Tanganyika
We mnyampaa una bifu gani na Manyara?Bila Simiyu-Gamboshii umetundanganya mzee wanguu
Weka na manyara hapo
Kwenye wachawi wakubwa mikoa wa Rukwa, Katavi ,Shinyanga,Simiyu na Geita kukosekana kunaipa walakini list yako.Hizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu
Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza
B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani
D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi
E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)
Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
Kama hutajali hebu itupie full report ya hiyo tafiti mkuuSio mimi ni utafiti
Jitahidi mkuu.Ngoja nifanye maarifa.. Ukiona kimya ujue nimefeli