TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

Pelekeni vielelezo na risiti za TRA za malipo halali,, kujitetea hapa atutakusaidia chochote iyo inakuwa sio kesi ya yanga Tena Bali ni Tff v/s takukuru ama Tff v/s TRA ivyo utulize mshono
Wenye akili ni wawili tuu......mlianzia CAS mkapigwa chini,mara mkaomba kikao na bodi ya ligi mkapeleka maombi ya kipumbavu kuwahi kuombwa katika tasnia ya michezo nchini,mjinga mmoja akapeleka kesi mahakamani akala za uso nyingi.......kama Yanga angekuwa na vielelezo angeshinda kesi walau kesi moja.Yusuph Kagoma mkaonyesha hadi mikataba...... utopolo atabaki kuwa utopolo milele.
 
Ndo utulie sasa kwani mbona mnawashwa sana na mambo ayawahusu,,wanaoshindwa au watakaoshindwa ni yanga mbumbumbu inawahusu nini? Kwani mbumbumbu ndio tff au bodi ya ligi?
 
NA TUJUE KAMA KUNA SHERIA YA KUDHAMINI ZAIDI YA TEAM MOJA KWA MFADHILI WA UTOPOL
GSM hakulazimisha kudhani yeye amepeleka ombi lake na kudhamini kukubaliwa kwake kunamaanisha TFF wameona hakuna Sheria inayovunjwa, endapo TFF wangemkatalia kuwa inakiuka Sheria zao, GSM asinge kuwa na uwezo wa kulazimisha.Kwahiyo bado TFF inaendelea kuwana hata hili na GSM hana tatizo lolote.
 
Wenye akili ni wawili tuu......mlianzia CAS mkapigwa chini,mara mkaomba kikao na bodi ya ligi mkapeleka maombi ya kipumbavu kuwahi kuombwa katika tasnia ya michezo nchini,mjinga mmoja akapeleka kesi mahakamani akala za uso nyingi.......kama Yanga angekuwa na vielelezo angeshinda kesi walau kesi moja.Yusuph Kagoma mkaonyesha hadi mikataba...... utopolo atabaki kuwa utopolo milele.
Sema mashabiki wa Simba huwa ni viazi sana.

Yanga hawajawahi kushindwa kesi CAS.

Kesi nyingi ni za madeni, ambazo Yanga hawajawahi kukataa kuwa hawadaiwi.

Sasa kwaakili zenu viazi mnafikiri kama mtu anadai, akishitaki ndio lazima umshinde uonekanae hadai??
 
Wenye akili ni wawili tuu.....haya vipi Kagoma maana mlisema aache kucheza mpira.....kesi ya kutaka mlipwe milioni karibu mia tano kisa dabi kutochezeka tarehe 8 mliipeleka CAS ili iweje?
 
Wenye akili ni wawili tuu.....haya vipi Kagoma maana mlisema aache kucheza mpira.....kesi ya kutaka mlipwe milioni karibu mia tano kisa dabi kutochezeka tarehe 8 mliipeleka CAS ili iweje?
Billion 20 iliwekwa account gani?

Mabona Mo anajiita mmilikinwa Simba, mlimuuzia lini?

Pesa mlizochanga kujenga uwanja mlichangia mali ya Mo??

Mpo kama MIZUZU
 
NA TUJUE KAMA KUNA SHERIA YA KUDHAMINI ZAIDI YA TEAM MOJA KWA MFADHILI WA UTOPOLO.
Hapo Uto hawezi kuwa na hatia kwa sababu ni TFF wenyewe ndio waliidhinisha kwahiyo lazima TFF wajipige kitanzi na kutetea huo udhamini
 
Billion 20 iliwekwa account gani?

Mabona Mo anajiita mmilikinwa Simba, mlimuuzia lini?

Pesa mlizochanga kujenga uwanja mlichangia mali ya Mo??

Mpo kama MIZUZU
Eng Hersi ameshajenga uwanja???kila siku mnasajili wachezaji wa kigeni ada wakulipieni TFF........haya GSM kila jezi akiuza Yanga analipwa elf 8......
Mzee Magoma apewe timu
 
Eng Hersi ameshajenga uwanja???
Alisema anajenga kwa pesa zake??

Na ulishaambiwa Uwanja utajenhwa baada ya kukamikisha mradi wa Mto msimbazi, ambako kwasasa kuna mkandarasi.

kwa kichwa chako tope kuelewa jambo dogo umeshindwa.
kila siku mnasajili wachezaji wa kigeni ada wakulipieni TFF
Huwesi kutoa pesa kumlipa mtu unayemdai.

TFF wangekuwa wnaalipa madeni kwa wakati, hizo pesa za kukatwa zisingekuwepo.
........haya GSM kila jezi akiuza Yanga analipwa elf 8......
GSM anatoa pesa zaidi ya hzio lesa za Jezi.

akipatikana Mzabuni anayetoa zaidi, sawa, ila kwasasa yupo GSM na hicho ndio kiasi anachotoa.
Mzee Magoma apewe timu
Magoma ni shabiki tu kama sisi.
 
Kadili tarehe inapokaribia mtahamisha sana magoli

Tunawataka Simba hata Mo Arena, mkafanya sinema na basi lenu mpaka Bunju

Tunataka pointi 3, mkaenda CAS na kufurushwa

Hatuchezi, derby hiyo tarehe inawadia

TPBL ijiuzuru, kisa klabu moja kati ya vilabu 16 isikilizwe.

Hatumtaki Karia na Kasongo ndio tucheze. Imekula kwenu.

Tunataka Pesa za zawadi CRDB cup winner. Haya njooni tufanye usuluhishi wa hesabu. Hapana, sisi tunataka zawadi milioni 200, ila pia hatujui hata mshindi alitakiwa kulipwa kiasi gani. Ninyi wendawazimu? Mnadaije milioni 200 wakati hamjui mnachodai.

Sasa TAKUKURU na TRA..... Napo mnatoka kapa Utopolo nyie, mnakenua tu vile mpaka siku nyuma mwiko mkitole waaaaaa utupolo utaisha.😎
 
Back
Top Bottom