TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

Mwanasheria wa yanga ni yuleyule au?
Ushaambiwa TAKUKURU, au TAKUKURU unahisi ni mahakama, hao ndio wenye kazi ya kuchunguza utakatushaji wa FEDHA za miradi hasa wa kule TANGA.
 
Dah! aiseee.... Prezda alizingua pale wakati wanajidunga zile sindano alitakiwa awapige nyundo palepale, sasa kawabeba leo kikowapi. Sema akaombe ushahidi pale Chamazi ajue namna kufanya Ubaya Ubwela...
 
Sasa hapo ukute na injinia hersi atakuwa kwenye 18. Unajua pesa za club yako zinavyolika wewe?
Wewe zile bil 20,huzijui ila mkifungwa mnaanza kuzikumbuka bil 20.

TAKUKURU wamewaita kwa yale madai, walio orodhesha Yanga,sasa wakae chini TFF ,Yanga then zitabishana documents na wakaguzi. Hizi kelele zibaki vijiweni na humu JF.
 
Kwa ujumla TFF kayakanyaga madai yao kuwa Yanga waliandika barua pesa ikatwe juuu kwa juuu!!!
ndio kwenye Shida apo apo tayali ni kosa,,,

Sasa ikiwa TAKUKURU wataamua kuchimba zaid ni wazi Kidau na Karia wanakamatwa na wana kesi ya kujibu.

Mfano Baada Tff kujibu tu kuwa tuliandikiwa baua na Yanga Tukatane pesa juu kwa juu !!
Rais wa TFF alitakiwa aikane iyo taarifa manake kuna ukwepaji wa kodi unafanyika kupitia njia iyo. Ngoja tuone,,
 
Back
Top Bottom